koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Dah akili yangu nahisi bado haijakomaa kukutana na matimbwili ya kwenye ndoa🤣🤣🤣 si uoe sasa kama huwezi kujizuia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah akili yangu nahisi bado haijakomaa kukutana na matimbwili ya kwenye ndoa🤣🤣🤣 si uoe sasa kama huwezi kujizuia?
Kiongozi si ulishastaafu haya masuala na kilinge ulikitaftia mrithi?Nitakosaje hapa kwa mfanoooolooo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
SawaUlijuaje kua atawasababishia wanawe matatizo makubwa?! Na ni matatizo.gani hayo kama sio porojo hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna anachofanya nyuma ya pazia ndugu yangu watu wa rohoni walikuwa hao manabiiNna rafiki angu shost sana....ana taasisi fulani hivi...sasa mara nyingi tunaonana sana kujengana..ana madhaifu yake...makubwa tu...ila kila saa10 lazima aende kanisan kusali had saa1...sasa siku 1 akaniambia huwa nasalije?..nikamwambia nasali kawaida...bas akaniintroduce kwa maombi makali yale strict...akaniambia wangari Mungu anakubariki zaidi ya hapa kama ukisali kwa kutia nia..its true...very true ..sema ndo hivyo kila mtu na imani yake..yaani yule dada ana hela....na zinamtembelea haswa...power of praying
Kuna sehemu yoyote umeona nimekulazimisha kuamini ninachoamini zaidi ya kutoa ushauri ambao mtu yuko huru kupokea au kutokupokea?Its also nonsemse to believe opposite of what you believe..umezaliwa umekuta imani tofauti, utakua na kichaa kulazimisha wengine waamini unachotaka waamini kwamba ndio kina manufaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu nakuharibia biashara nini maana unaonekana ni mganga wa kienyeji ama ni mchawi
Polee Sana vip bado wanakusumbuaWasaalam wanabodi.
Bila kupoteza muda, niombe niende kwenye mada husika. Kuna eneo flan nilinunua sehemu ila baadae baadhi ya wakazi wakaanza kuhujumu badhi ya shughuli zangu katika hilo eneo hilo, hasa mifugo iliyopo.
Kila mara ni wizi wa kuku au mbuzi na naona hili wamelizoea. Ili kukomesha kabisa tabia hizi za wizi, niombe mtu anayejua mganga nguli hasa kati ya mikoa ya Dodoma au Moro tuchekiane inbox.
Hili ni serious na ninalileta nikijua kuna vituo vya polisi. Nitashukuru kwa kupewa link ya huyo mtaalamu.
Sijui lakini nimekaa sumbawanga yote adi vijijini wilaya zote za Rukwa mpaka unatoboa Zambia watu wanavotuambia sumbawanga na uhalisia uliopo ni tofauti kabisaaa.pole mkuu,Kuna jamaa angu anaishi kyela ni ticha, jamaa walimuibia pkpk yake mpya mwaka juz,jamaa alitafuta hakufanikiwa kuipata,alichokifanya ni story pale mtaani kwao,wale wazi walirudisha wenyewe ile pkpk kituo Cha polisi[emoji23][emoji23][emoji23],nilipomuuliza ilikuwaje akasema aise niliamua niludi nyumbani kwanza ,yy ni mwejeji wa sumbawanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wale wezi walijuta aise waliirudisha ile pkpk wenyewe!!!.hii dunia inawatu wababe aise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee na zawadi ya tende juu .Achana na hiyo mambo kama una imani yako ya dini fanya maombi ama toa sadaka. Mimi yalinikuta mambo magumu sana mpaka nikakimbia nyumba nimeachia msala wapangaji.
Kuna mmoja alipigwa miti ndani asubuhi alikuta tende mezani. Achana kbs na hayo mawazo. Fanya toba tu. Mimi nilifukia kitu hata sikumbuki nilifukia sehemu gani ya nyumba SHIRIKI sitaki hata kuisikia.ACHANA NA MAWAZO HAYO.
Yule dada alilalamika sana kuwa alilala sebuleni akakuta katiwa na jamaa lilimwaga mbegu za haja na kumuachia tende juu ya meza asubuhi shahawa zinamtoka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee na zawadi ya tende juu .
Kwa kakobeNina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Ukisema majini wachafu maanake kuna majini wasafi??KUZINDIKA nyumba ni kufanya dawa ya kukinga nyumba isipatwe na uchawi na majini wachafu pia wasiweze kuingia ndani ya nyumba unapo ishi ndio kuzindika. Kwa kifupi kuikinga nyumba dhidi ya wachawi,majini na wezi pia.
Je shida ilikuwa ni hilo zindiko ama?Yule dada alilalamika sana kuwa alilala sebuleni akakuta katiwa na jamaa lilimwaga mbegu za haja na kumuachia tende juu ya meza asubuhi shahawa zinamtoka tu
Ndio kuna Majini wazuri na majini wabaya majini wazuri hawadhuru watu tunaishi nao katika hii dunia. Na hata katika majumba yetu tunaishi nao wao ni viumbe kam sisi wameumbwa na Mungu kuishi katika hii dunia wao walianza kuumbwa kwanza kabla ya sisi Binadamu wanatuona lakini sisi hatuwaoni .Ukisema majini wachafu maanake kuna majini wasafi??
Hawa watu bado wanazenguaPolee Sana vip bado wanakusumbua
Nilichofanya kwanza nikitoa karibu udongo wote wa sehemu niliyozika hicho kichupa na kwenda kuutupa. Maana ilikuwa kila mara malalamiko.Je shida ilikuwa ni hilo zindiko ama?
Je baada ya hapo nyumba uliifanyaje ili wapangaji wasisumbuliwe tena yaani ulilimalizaje
Huyo mganga ndo alikufanyia ushenzi ili urudi kwake tena.pole mkuu ndo ukubwa .Nilichofanya kwanza nikitoa karibu udongo wote wa sehemu niliyozika hicho kichupa na kwenda kuutupa. Maana ilikuwa kila mara malalamiko.
Ukipata nistue nimepitia same case nataka nishushe mtu kishipaNimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu