Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kama ni watu humu JF wapo kama wawili mshana na mzizimkavu. Ila kama ni eneo nenda mkoani simiyu sehemu moja panaitwa Gamboshi
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Afrika!!! Mhe. Mwigulu hivi wale wapaka kucha rangi wanalipa tozo? Nahisi wanawateja sana waongezewe tu hamna namna!
 
sikuwa makini, wakati nafungua ndyo nakajua lengo la jamaa na nikarejea vizuri tittle.
Aisee naomba unipm nipate namba zako nitakuja mwanza...
 
Nenda kule mlimani Ugweno, zungumza na wazee. Wanunulie kahawa na uwe na kauli nzuri.
 
Nilishtuka, huenda Yesu ni mganga wa wazungu tu. Hebu tuchangamke tutafute Yesu wa Africa.
 
Unataka kumuelekeza kwa adamu ngaidoa au Nan pale???
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Kama umepata mganga niambie na mimi aisee Kuna mtu nataka nimpige radi ya kiuno sitaki ushauri
 
Hebu nipe na mimi
 
Wataka ukamroge nani?
Kuna mtu ananisumbua sana kwa kweli. Mwaka wa tatu huu sasa mbishi 'kunielewa', sijui kashikwa na nani AR huko. Ngoja nijaribu upande huu labda atalegeza ................
 
Kuna mtu ananisumbua sana kwa kweli. Mwaka wa tatu huu sasa mbishi 'kunielewa', sijui kashikwa na nani AR huko. Ngoja nijaribu upande huu labda atalegeza ................
Basi ukipata hiyo namba ya mganga unipee namimi nimgangie mtu yuko huko nchi ya watu kila siku anaahidi kuja na haji.
 
Nimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu
Je unafahamu kwenda kwa mganga ni kuingia mkataba na mapepo for short term results? unaijiingiza wewe na vizazi vyako kwenye laana kubwa sana. Mungu hachezewi, aya mkuu, kila mtu ana Mungu wake au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ