TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
hata Wangari Maathai pia namba anayo ya kigagula wake wa kihaNaomba na mimi mkuu, kuna mtu ananichezea naona
Mimi siku ya kwenda kwa.mganga atanifukuza!...hata Wangari Maathai pia namba anayo ya kigagula wake wa kiha
Google wamejaa tele youtube na contact zao zipo jaribu bahati yakoKuna watu wamenidhulumu nawadai
Ntakuambia mganga wangu😅Eti swiri ya kweli haya. ? Wangari Maathai
HahahahaHaya mambo yaache kabisa sio ya kucheka mtu apatakapo shida ukiona mtu analishwa nyoka au nyeshwa mafuta ya taa na wachungaji biashara usimcheke.
Sikuwahi amini wala kuwahi kwenda kwa mganga,mapenzi yalinipeleka aisee nikaliwa 4 milioni na binti sikumpata akaolewa na jamaa aliyenipora kupitia ndumba.
Toka siku hio mganga wa matatizo yangu ni Mimi mwenyewe.
Chief pole kwa kupelekwa kwa mtaalam feki,,tatizo ni kwamba matapeli wamegundua huo ni fursa basi wanatembea na matatizo yetu . Next time ukiihitaji connection ya ukweli njoo inbox [emoji23]Haya mambo yaache kabisa sio ya kucheka mtu apatakapo shida ukiona mtu analishwa nyoka au nyeshwa mafuta ya taa na wachungaji biashara usimcheke.
Sikuwahi amini wala kuwahi kwenda kwa mganga,mapenzi yalinipeleka aisee nikaliwa 4 milioni na binti sikumpata akaolewa na jamaa aliyenipora kupitia ndumba.
Toka siku hio mganga wa matatizo yangu ni Mimi mwenyewe.
Sijaona text mkuuMkuu nimekutumia Message PM mda mrefu. Nasubiria jibu lako mkuu....
Sipo huko tena mzee.But matatizo hayapigi hodiChief pole kwa kupelekwa kwa mtaalam feki,,tatizo ni kwamba matapeli wamegundua huo ni fursa basi wanatembea na matatizo yetu . Next time ukiihitaji connection ya ukweli njoo inbox [emoji23]
Mjini ng'ombe ni wengi awaishi na hawa matapeli utengeneza pesa nyingi SanaKuna watu ni mabingwa wanajua kucheza na akili za watu, kupitia matatizo mtu aliyonayo basi watu wanapata fursa na kupenyeza utapeli wao na mwisho wa siku mtu anakuja kushtuka ashaumia ..
Kwa pamoja tuseme Aminaaaaaaa.Yesu kwetu ni rafiki
Hwambiwa haja pia
Ukiomba kwa Babaye
Maombi asikia.
Lakini twajikosesha
Twajitweka vibaya
Kwamba tulimwomba Mungu
Dua angesikia.
Una dhiki na maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo maombi asikia.
Hakuna mwingine mwema
Wa kutuhurumia
Atujua tu dhaifu
Maombi asikia.
Ni tabibu wa karibu
Tabibu wa ajabu
Na rehema za daima
Ni dawa yake njema.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu nahitaji mganga wa masuala ya mapenzi aisee. Kuna Mwanamke mmoja nataka nimkamate.Nakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
[emoji120][emoji120]AmenKwa pamoja tuseme Aminaaaaaaa.
Mtumbatu wa Mjini ama?Pole sana, upo mkoa gani, Kuna mtumbatu ntakutumia namba yake PM
Na wengine fani yao kutoa majiniNakuomba tafadhali fafanua aina ya tatizo uweze kusaidika kwa wepesi.. Waganga wana fani tofauti
Kuna ambao fani yao ni mahusiano tu
Kuna ambao fani yao ni madeni tu.
Kuna ambao fani yao ni kuua na kuharibu tuu nknk
Duuh mkuu kuwa na hurumaMm nataka wakumfanya mtu awe mwendawazimu /chizi ,dili likiwa fresh zawadi nono itatolewa hata kwako wewe ulieunganisha kwa mganga.