koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Mimi napiga bangi balaa kwa hiyo hawa wajinga watakuwa wananipita kushotoWewe tafuta jani la bangi washa hapo MAENEO ya kwako hakuna kiumbe wa ajabu atasogelea hapo.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nilikuwa kwa Yesu masharti yakawa magumu yakanishinda nikatoka huku kwa waganga bado sijakutana na shida kubwa ya kunishinda hadi kwenda huko bado nipo kati katiWewe huwa unafanyaje?