Kumbe unajifanya mjuaji tu! AibuNataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo
1. Public toilet
2. Watoto
3. Master
Naomba na sababu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajifanya mjuaji tu! AibuNataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo
1. Public toilet
2. Watoto
3. Master
Naomba na sababu?
Mim kusema kwel hua napandaga labda niweke mguu nikae muundo wa squatMimi huwa nikijisaidia kwenye Choo Cha kukaa, mzigo hautoki Hadi natamani kupanda juu ya hicho choo[emoji28]
Nitaangaliwa nini kifanyike kwa wakati huo..
Umewahi kufikiri choo cha kukaa Kiwe Public inavyokuwa?hasa kwenye familia kubwa?
BTW Mimi binafsi napendelea zaidi choo cha kuchuchumaa kuliko cha kukaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sahihi kabisa...ila kwangu hakijawahi kunivutia kama cha kuchuchumaa..Choo cha kukaa kina unyama mwingi sana
View attachment 2072364
Itajulikana itakavyokuwa Mzehe[emoji2]Sasa mzehe,,public ni muhim cha kukaa ujuwe,,,ikitokea mgeni ana tatizo la miguu je itakuwaje?
Kama mwanaume, ni lazima utimize ndoto zako na za familia yako. Inakuwaje utake ndoto zako tukutimizie sisi vizabizabina tusiojua hitaji la moyo❤ la mkeo na wanao? Ama unataka kutujulisha kwamba hujengi nyumba ya ndoto zako?Mkuu kujifunza kwa wengine hakuna mwisho
Duh kumbe... mbona hujawahi kuniambiaTrust me and that's bitter truth...
Kwani vijijini KWENYE vyoo vya kulenga hamnaga wagonjwa?ukipata mgeni kama mzazi mkwe na ni mgonjwa atachuchumaa vipi?