Wapi wanatoa nafasi za kazi mradi wa umeme Rufiji?

Alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
6,535
Reaction score
14,840
Kama unafahamu namna watu wanaweza kupata kazi/ vibarua mradi wa bwawa la umeme mto rufiji kwenye hifadhi ya selous ,weka taarifa tafadhali wazee wa fursa waruke nayo.
 
Nenda kisaki morogoro vijijini ndo maombi yanapelekwae huko gari za kisaki unapandia. Buguruni sheli au stend ya msamvu morogoro
 
sio nafasi za kazi tu hata tenda mbali mbali hawa watu tunasikia mwezi wa 6 wanatakiwa waingie site lakin mpaka sasa hatujui hata ofisi zao ziko wapi ktk mobilisation ukiacha kuajiri watu na kuanza kuwapa training kuna suala la kutengeneza supplier list etc hatusikii tangazo kwa media yoyote wala magazeti wala kujua country office zao zilipo kuna nn kinaendelea apa?
 
Namimi nashangaa,wangeweka mazingira ya wazi ili wananchi wajiandae kunufaika na ajira za mradi.
 
Back
Top Bottom