Peter_John
Member
- Sep 12, 2022
- 53
- 91
Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza
ZipoMbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu...
Hizi za namna hii hiwa wanauza?
Kufika maeneo hayo inaweza ikakuwia urahisi kupata, sababu wale ni wadau wa biashara hiyo.Mbona kama kule kuna baiskeli za mtumba tu...
Hizi za namna hii hiwa wanauza?
OK asante,Nenda Kariakoo nyuma ya China Plaza zamani jengo liliitwa Mobile Plaza
Kama nitakosa apo kariakoo alipo nielekeza jamaa ntakutafutaNaweza kukutafutia zenji kusafirisha wala sio ghali
Kama upo tayari
OkKama nitakosa apo kariakoo alipo nielekeza jamaa ntakutafuta
Niliziona Zanzibar kwa mzungu mmoja ana duka kabla hujafika Uroa ukiwa unatokea ChwakaMimi natafuta ya aina hii kwa hapa DarView attachment 3182312
Asante boss, nitapatafutaNiliziona Zanzibar kwa mzungu mmoja ana duka kabla hujafika Uroa ukiwa unatokea Chwaka