Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

Jamani hizo aina nzuri za power bank mnazozisema basi muambatanishe za picha zake ili tukienda dukani tukomae na hzohizo

Binafsi niko Mashambani Huku na umeme ni shida sana,, mwezi uliopita nilinunua power bank ya Samsung Mah 20800 Ila Cha kushangaza haijazi hata Simu Ndogo[emoji26][emoji26][emoji26]
hizoView attachment 2893955
Screenshot_20240204-131106_Instagram.jpg
 
Jamani hizo aina nzuri za power bank mnazozisema basi muambatanishe za picha zake ili tukienda dukani tukomae na hzohizo

Binafsi niko Mashambani Huku na umeme ni shida sana,, mwezi uliopita nilinunua power bank ya Samsung Mah 20800 Ila Cha kushangaza haijazi hata Simu Ndogo😥😥😥
Ushauri tu, picha haisaidii kujua kitu OG, ni rahisi mchina kufyatua feki na kuiga muonekano.

Kitu kigumu hao wanaofyatua feki hawawezi kuiga ni hizi Specification. Mfano hao Xiaomi powerbank zao mpya zote Zina fast charging, at minimum 18W ila zinaenda Hadi 50W.

Kama una simu inasuport fast charging na inaandika kwenye lock screen kama ni slow ama fast unaenda nayo dukani pale pale unaitest, ukiona inachaji kama konokono ujue kimeo hio.
 
China sababu ya Bei, ila Japan hana mpinzani tech ya battery.
Nna simu hapa ya sharp aquos, nkishinda nayo siku nzima kwa kuchat na kuperuzi, ikiwa full 100, nkirud hom ina 60%, haijawahi kuwa below 60%. Kutazama nimeona kumbe ni mjapan.
 
Tatzo mpaka kuagiza bongo hazipogo

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Zipo mkuu,



Kuna jamaa wanajiita highlife Upana tulikuwa zamani tunachukua kwake, sijui kama bado anazo unaweza Mcheki fb, bei zake zimechangamka ila uhakika ni genuine.
 
Tujuzeni portable powerbank za laptop zenye plug
Hizi ni power station, zipo nyingi sana nje na nyengine bei reasonable sema kusafirisha battery ni issue sana,

1708339633803.png


Za 300Wh kuanzia 300,000+ unapata zikiwa huko nje, za Kichina unapata chini ya hapo
 
Kwa china sawa, ILa Usa Silent ocean wana charge $11 kwa kilo, so andaa kama dola 100 na upuuzi kusafirisha tu. Mfano powerstation ya Anker ina kilo 20
Yes bro hio uchina unaipakia kwa meli tu ,hivo hio watt 300 ufanisi wake ukoje kimatumiz ya kawaida ya kila siku
 
Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B.

Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee?

Wadau wenye kujua tujulishane.
Hachana na hizo power bank, si salama.

Nunua simu zenye kukaa na chaji muda mrefu.
 
Yes bro hio uchina unaipakia kwa meli tu ,hivo hio watt 300 ufanisi wake ukoje kimatumiz ya kawaida ya kila siku
Zipo nyingi watts 300 kwa saa ndio ndogo ila zinaenda mpaka watts 1000 na zaidi.

Mahesabu yake unapiga kama hivi.

Unachukua hizo watts/hour za powerstation unagawanya na watts za kifaa chako unapata idadi Ya masaa ambayo utaweza tumia.

Mfano powerstation ya watts 300 kwa saa na tv inakula watts 50 kwa saa, ina maana unaweza ukaangalia tv masaa 6 kabla haijazima.

Kwa Vitu vidogo kama simu unachaji hata mara 15 hadi 20.
 
Back
Top Bottom