Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jo umejawa na upuuzi mwingi sana..huoni aibu?Wapiga debe wengi ni Bavicha.
Wasaidiwe na wapewe vitambulisho vya mjasiriamali!
Wizi utaongezeka mtaani....Maisha yalivyo magumu huku mtaani sijui watafanya kazi gani hao mtaani.
Wapiga debe wengi ni Bavicha.
Wasaidiwe na wapewe vitambulisho vya mjasiriamali!
Huwezi kuwa na kitu kizuri/standard ukakifanya local
Sijui umenielewa
Ova
Ukitaka kutawala milele jenga jamii ya watu wajinga na masikini
Kupiga vita umasikini ni kuongeza Wigo wa ajira..
Hili jambo linakera sana, unaruhusu vipi watu wanaweka vibanda mpaka kwenye stendi za mabasi alafu abiria wanakosa hata sehemu ya kupumzikia na kujikinga na Jua?!Nilijiuliza kama Stand ya nyabugogo Rwanda haina hao wasumbufu isipokua kampuni inakua na watu wake official wa kupokea abiria, lakini pia Roadport stand ya zimbabwe sikuona usumbufu huo iweje Tanzania?...
Na sisi tutafatilia.Katika vitu vinavyonihuzunisha sana ni kuona jinsi nchi inavyoporomoka toka kwenye uchumi rasmi wa wastani uliotawaliwa na viwanda na makampuni makubwa ya biashara ambayo ndiyo yalikuwa yanaajiri sehemu kubwa ya wakazi wa Dar hadi kuelekea uchumi usio rasmi wa machinga, mama lishe, bodaboda, gereji bubu, magenge, n.k..
Umeandika bonge la point,Hili jambo linakera sana, unaruhusu vipi watu wanaweka vibanda mpaka kwenye stendi za mabasi alafu abiria wanakosa hata sehemu ya kupumzikia na kujikinga na Jua?!..
Hahahaaaa...... Wewe hutaki kitambulisho?