escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,477
- 2,873
Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu.
Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu.
Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi leo, basi tupo tayari kuzikosa kwa miaka mitano mingine.
Kura kwa Lissu 2020.