escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,477
- 2,873
NIKO KWENYE JIMBO LA CCM LAKINI WATU TUNAKUNYWA MAJI YA KISIMAKuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu.
Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu.
Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi leo, basi tupo tayari kuzikosa kwa miaka mitano mingine.
Kura kwa Lissu 2020.
NIKO KWENYE JIMBO LA CCM BARABARA MASIKA HAIPITIKIKuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu.
Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu.
Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi leo, basi tupo tayari kuzikosa kwa miaka mitano mingine.
Kura kwa Lissu 2020.
Sasa kwa taarifa yake na asome humu. Kwa sababu yeye ni mtu mwenye roho mbaya, mbaguzi na mkatili, hatumpi kura yeye wala wabunge wake wala madiwani wake.Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu.
Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu.
Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi leo, basi tupo tayari kuzikosa kwa miaka mitano mingine.
Kura kwa Lissu 2020.
Kila uchaguzi wanaahidi wataleta maji safi na salamaNIKO KWENYE JIMBO LA CCM LAKINI WATU TUNAKUNYWA MAJI YA KISIMA
Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu.