Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Kwa mujibu wa tume...Toa ushahidi kuwa ccm ilishinda kwa kura 2.8m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa tume...Toa ushahidi kuwa ccm ilishinda kwa kura 2.8m
Dah kumbe sio 8.8m na Chadema ilishinda kwa 6m basi sawa nimekusoma.Kwa mujibu wa tume...
Nakuambia jambo ambalo nina ushahidi nalo. Kwani hiyo mikopo ni ya bank au ni ya vikundi, hasa huko halmashauri. Kufanya biashara hasa hizi ndogo ndogo, unakuwa kwenye nafasi ya kupata upendeleo ukiwa na kadi ya ccm. Hili sio suala la ubishani, na wala sikulazimishi kuamini lakini habari ndiyo hiyo.Ndugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM. Unahitaji uwe na akili za ajabu sana ili kushawishi watu wenye fikra zao kukubali utopolo wako. Sina haja ya kufanya utafiti wowote wakati wewe mqenyewe ni ushahidi huna kadi ya CCM na mambo yako yanaenda. Au naongea uongo? #JPM mi5 tena kazi iendelee.
CCM inapendwa na wajinga kweli. Hapo hujaelewa kuwa hizo ndizo kura zilizompa ushind Boss wako? Poleni MbogambogaToa ushahidi kuwa ccm ilishinda kwa kura 2.8m
Ishi ona hili nalo linakurupuka ndio umeandika nini sasa.CCM inapendwa na wajinga kweli. Hapo hujaelewa kuwa hizo ndizo kura zilizompa ushind Boss wako? Poleni Mbogamboga
Waliojitokeza kupiga kura mwaka huo ni asilimia ngapi ya waliojiandikisha?!Mwaka 2015 CCM waliishinda Chadema kwa kura 2.8M tu! inamaana hapo ngoma ni ngumu sana. Wale watumishi wa umma ambao miaka yote hupigia kijani na njano safari hii hata hawaeleweki wapo upande gani.
Kwa kauli ya mheshimiwa leo mkoa wa pwani naona hofu yao wajaogopa hawa wapiga kura vijana lakini wanasahau hilo kundi kubwa la watumishi wa umma.
Kazi ipo!
Mwaka 2015 CCM waliishinda Chadema kwa kura 2.8M tu! inamaana hapo ngoma ni ngumu sana. Wale watumishi wa umma ambao miaka yote hupigia kijani na njano safari hii hata hawaeleweki wapo upande gani.
Kwa kauli ya mheshimiwa leo mkoa wa pwani naona hofu yao wajaogopa hawa wapiga kura vijana lakini wanasahau hilo kundi kubwa la watumishi wa umma.
Kazi ipo!
Hivi unajua mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya vijana,wanawake na walemavu inatolewaje?Ndugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM. Unahitaji uwe na akili za ajabu sana ili kushawishi watu wenye fikra zao kukubali utopolo wako. Sina haja ya kufanya utafiti wowote wakati wewe mqenyewe ni ushahidi huna kadi ya CCM na mambo yako yanaenda. Au naongea uongo? #JPM mi5 tena kazi iendelee.
Kwani unadhani hawakujiandikisha? Kumbuka ilikuwa uboreshaji na kama mtu alijiandikisha 2015, hakukua na ulazima ila tu kama alitaka kuboresha taarifa.Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.
Ushahidi upo tuna jamaa zetu ambao ni wapangaji kwenye majengo ya ccm ili ukidhi vigezo vya kupewa nafasi ya kupanga lazima uwe mwanachama wa ccm, hata mfano ccm kirumba pale Kuna watu wamekodi stoo, wana kadi za ccm za kuvungia ili kukidhi vigezo, sisi tunajua Bana acheni mchezoNdugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM. Unahitaji uwe na akili za ajabu sana ili kushawishi watu wenye fikra zao kukubali utopolo wako. Sina haja ya kufanya utafiti wowote wakati wewe mqenyewe ni ushahidi huna kadi ya CCM na mambo yako yanaenda. Au naongea uongo? #JPM mi5 tena kazi iendelee.
Sasa wewe unaleta mfano wa majengo ya chama we vipi?! Yale majengo ni ya chama wanahaki ya kuweka masharti yao. Zungumzia hoja ambayo ndugu yako ameileta hapa.Ushahidi upo tuna jamaa zetu ambao ni wapangaji kwenye majengo ya ccm ili ukidhi vigezo vya kupewa nafasi ya kupanga lazima uwe mwanachama wa ccm, hata mfano ccm kirumba pale Kuna watu wamekodi stoo, wana kadi za ccm za kuvungia ili kukidhi vigezo, sisi tunajua Bana acheni mchezo
Umeshasema majengo ni ya CCM we vipi ndugu. CCM wakikunyima si unaenda kukodi au kupanga kwenye majengo CDM!? Au DJ amekula hela zote za chama za miaka zaidi ya 20 hajawekeza kwenye majengo.Hivi unajua mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya vijana,wanawake na walemavu inatolewaje?
Unajua ukitaka kupata fremu kwenye viwanja vya michezo au majengo yanayomilikiwa na CCM inakuwaje?
Umeona jinsi ulivyo sukule? Ubaguzi wowote haukubaliki Tanzania.Umeshasema majengo ni ya CCM we vipi ndugu. CCM wakikunyima si unaenda kukodi au kupanga kwenye majengo CDM!? Au DJ amekula hela zote za chama za miaka zaidi ya 20 hajawekeza kwenye majengo.
Acha maelezo rahisi hayo. Kila chama kinamasharti kwa mali zakeUmeona jinsi ulivyo sukule? Ubaguzi wowote haukubaliki Tanzania.
Mantiki ya kukueleza hivyo ni kuwa watu wanakuwa wanachama kwa ajili ya "security" kwenye ajira,biashara,ujasiriamali n.k,lakini si kwamba wanakipenda chama.
Tatizo ni mahaba yaliyopitilizaAcha maelezo rahisi hayo. Kila chama kinamasharti kwa mali zake