Uchaguzi 2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

Ndugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM. Unahitaji uwe na akili za ajabu sana ili kushawishi watu wenye fikra zao kukubali utopolo wako. Sina haja ya kufanya utafiti wowote wakati wewe mqenyewe ni ushahidi huna kadi ya CCM na mambo yako yanaenda. Au naongea uongo? #JPM mi5 tena kazi iendelee.
Nakuambia jambo ambalo nina ushahidi nalo. Kwani hiyo mikopo ni ya bank au ni ya vikundi, hasa huko halmashauri. Kufanya biashara hasa hizi ndogo ndogo, unakuwa kwenye nafasi ya kupata upendeleo ukiwa na kadi ya ccm. Hili sio suala la ubishani, na wala sikulazimishi kuamini lakini habari ndiyo hiyo.

Mtu anayefanya biashara kubwa hahitaji kadi ya shilingi 500, wafanya biashara ndogo ndogo ndio wanahitaji hizo kadi za hii mikopo midogo midogo. Usitake kupotosha maelezo yangu kuwa kupata ajira au kufanya biashara nchi hii lazima uwe na kadi ya ccm. Nasema kwenye shughuli ndogondogo, hasa biashara za kimachinga ikiwemo maeneo ya kufanya biashara na vikundi vidogo vidogo kama vikoba nk, ukiwa na kadi ya ccm utakuwa na nafasi ya upendeleo wa mifumo.

Na kwakukusaidia tu, hata hao wafanyabiashara wakubwa wazawa karibu wote wanamiliki kadi za ccm, kwenye like kiitwacho Kula na kipofu. Muundo na tabia za ccm wanaiga yafanywayo na chama cha kikomunist cha China, lakini yenyewe bado iko kwenye early stages a.k.a ukomunist uchwara.
 
Mwaka 2015 CCM waliishinda Chadema kwa kura 2.8M tu! inamaana hapo ngoma ni ngumu sana. Wale watumishi wa umma ambao miaka yote hupigia kijani na njano safari hii hata hawaeleweki wapo upande gani.

Kwa kauli ya mheshimiwa leo mkoa wa pwani naona hofu yao wajaogopa hawa wapiga kura vijana lakini wanasahau hilo kundi kubwa la watumishi wa umma.

Kazi ipo!
Waliojitokeza kupiga kura mwaka huo ni asilimia ngapi ya waliojiandikisha?!
 
Mwaka 2015 CCM waliishinda Chadema kwa kura 2.8M tu! inamaana hapo ngoma ni ngumu sana. Wale watumishi wa umma ambao miaka yote hupigia kijani na njano safari hii hata hawaeleweki wapo upande gani.

Kwa kauli ya mheshimiwa leo mkoa wa pwani naona hofu yao wajaogopa hawa wapiga kura vijana lakini wanasahau hilo kundi kubwa la watumishi wa umma.

Kazi ipo!

Kamanda walishinda kwa vyanzo gani?
 
Ndugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM. Unahitaji uwe na akili za ajabu sana ili kushawishi watu wenye fikra zao kukubali utopolo wako. Sina haja ya kufanya utafiti wowote wakati wewe mqenyewe ni ushahidi huna kadi ya CCM na mambo yako yanaenda. Au naongea uongo? #JPM mi5 tena kazi iendelee.
Hivi unajua mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya vijana,wanawake na walemavu inatolewaje?
Unajua ukitaka kupata fremu kwenye viwanja vya michezo au majengo yanayomilikiwa na CCM inakuwaje?
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.
 
Kwani unadhani hawakujiandikisha? Kumbuka ilikuwa uboreshaji na kama mtu alijiandikisha 2015, hakukua na ulazima ila tu kama alitaka kuboresha taarifa.

Kumbuka pia kuna wapya walijiandikisha, hawa si mali ya chama chochote
 
Ndugu yangu wewe unamahaba kwahiyo huwezi kukubaliana na ukweli. Unaweza kusibitisha benki gani inatoa mikopo kwa kadi CCM? Pia je unataka kuwadanganya watu kuwa nchi hii huwezi kuwa mfanyabiasha au kuajiliwa mpaka uwe na kadi ya CCM. Unahitaji uwe na akili za ajabu sana ili kushawishi watu wenye fikra zao kukubali utopolo wako. Sina haja ya kufanya utafiti wowote wakati wewe mqenyewe ni ushahidi huna kadi ya CCM na mambo yako yanaenda. Au naongea uongo? #JPM mi5 tena kazi iendelee.
Ushahidi upo tuna jamaa zetu ambao ni wapangaji kwenye majengo ya ccm ili ukidhi vigezo vya kupewa nafasi ya kupanga lazima uwe mwanachama wa ccm, hata mfano ccm kirumba pale Kuna watu wamekodi stoo, wana kadi za ccm za kuvungia ili kukidhi vigezo, sisi tunajua Bana acheni mchezo
 
Sasa wewe unaleta mfano wa majengo ya chama we vipi?! Yale majengo ni ya chama wanahaki ya kuweka masharti yao. Zungumzia hoja ambayo ndugu yako ameileta hapa.
 
Hivi unajua mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya vijana,wanawake na walemavu inatolewaje?
Unajua ukitaka kupata fremu kwenye viwanja vya michezo au majengo yanayomilikiwa na CCM inakuwaje?
Umeshasema majengo ni ya CCM we vipi ndugu. CCM wakikunyima si unaenda kukodi au kupanga kwenye majengo CDM!? Au DJ amekula hela zote za chama za miaka zaidi ya 20 hajawekeza kwenye majengo.
 
Umeona jinsi ulivyo sukule? Ubaguzi wowote haukubaliki Tanzania.

Mantiki ya kukueleza hivyo ni kuwa watu wanakuwa wanachama kwa ajili ya "security" kwenye ajira,biashara,ujasiriamali n.k,lakini si kwamba wanakipenda chama.
 
Rais huyu hapa anawapiga shule maccm wametulia tuli wanasikiliza kichwa
IMG_20201019_214008.jpeg
 
Umeona jinsi ulivyo sukule? Ubaguzi wowote haukubaliki Tanzania.
Mantiki ya kukueleza hivyo ni kuwa watu wanakuwa wanachama kwa ajili ya "security" kwenye ajira,biashara,ujasiriamali n.k,lakini si kwamba wanakipenda chama.
Acha maelezo rahisi hayo. Kila chama kinamasharti kwa mali zake
 
Hapa ndipo utaona jinsi hesabu za ushindi zinavyombeba Lissu! Maana hata katika wale milioni 23 wa mwaka 2015, kuna kundi la watu zaidi ya milioni 5 hawakupiga kura, wengi wao wanatoa sababu kuwa wanakatishwa tamaa kutokana kupiga kura alafu wanatangaziwa kiongozi ambaye hawakumchagua! Lakini mwaka huu chini ya amsha amsha ya Lissu na onyo lake kwa wale watakaochezea maamuzi ya wananchi, kuna mwamko mkubwa wa watu kujitokeza kupiga kura kwa wingi! Watu wana hasira sana na maumivu waliyoyapata miaka hii 5 ya serikali korofi! Hivyo kama haki itatendeka, Lissu atashinda asubuhi! Tuzidi kuwahasisha watu kwenda kupiga kura.
Pia tunavikumbusha vyombo vya dola kwamba watendaji wenu ni waajiriwa wa kiserikali hivyo ajira zao na stahiki zao zote zitaendelea kuwepo hata katika serikali yoyote mpya itakayoingia madarakani, Kwa hiyo hawana sababu ya kutumika kusaidia chama flani kushinda eti kwa hofu ya kukosa ajira kama chama kingine kikishinda, Hilo halipo kabisa! Polisi tendeni haki Muinue taifa!
 
Back
Top Bottom