Uchaguzi 2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

Uchaguzi 2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

Hapa ndipo utaona jinsi hesabu za ushindi zinavyombeba Lissu! Maana hata katika wale milioni 23 wa mwaka 2015, kuna kundi la watu zaidi ya milioni 5 hawakupiga kura, wengi wao wanatoa sababu kuwa wanakatishwa tamaa kutokana kupiga kura alafu wanatangaziwa kiongozi ambaye hawakumchagua! Lakini mwaka huu chini ya amsha amsha ya Lissu na onyo lake kwa wale watakaochezea maamuzi ya wananchi, kuna mwamko mkubwa wa watu kujitokeza kupiga kura kwa wingi! Watu wana hasira sana na maumivu waliyoyapata miaka hii 5 ya serikali korofi! Hivyo kama haki itatendeka, Lissu atashinda asubuhi! Tuzidi kuwahasisha watu kwenda kupiga kura.
Pia tunavikumbusha vyombo vya dola kwamba watendaji wenu ni waajiriwa wa kiserikali hivyo ajira zao na stahiki zao zote zitaendelea kuwepo hata katika serikali yoyote mpya itakayoingia madarakani, Kwa hiyo hawana sababu ya kutumika kusaidia chama flani kushinda eti kwa hofu ya kukosa ajira kama chama kingine kikishinda, Hilo halipo kabisa! Polisi tendeni haki Muinue taifa!

UFIPA USIOGOPE HAKI ITATENDEKA NA TAIFA LITAINULIWA TUME IKO HURU UTASHINDA KWA KISHINDO PIGA KURA RUDI ULIKOTOKA SHEREKEA USHINDI HAPO ULIPO SAWA
 
Hapa JF mbumbumbu ni wengi sana!Aliekuambia katika Afrika kura hutumika kuamua Rais ni nani?

Unaelewa katika Afrika kinachoamua nani awe Rais ni uchakachuaji wa kura pamoja na uchaguzi usio huru na haki ambapo huwa ni kolabo kati ya chama tawala,polisi,tume pamoja na usalama wa taifa?Unaelewa ni kwa nini Jecha alifuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa mwaka 2015?Utaelimika lini?
759098.jpg
578905.jpg
JamiiForums2000245234.jpg
876543.jpg
tapatalk_jpeg_1588860003675.jpg
1583840766_1583840766-picsay.jpg
3456.jpg
12345.jpg
5567.jpg
 
Acheni kupiga kura mnapoteza mida wenu! Magufuri mi5 tena.
Wewe ni kilaza sana!Unafikiri kwa kuwa hakuna mifumo thabiti ya chaguzi ambazo ni huru na haki basi hawa madikteta watatawala milele?

Unaelewa kuwa vyama vyote vya kidikteta Afrika kuanzia Zimbabwe,Angola,Kenya,Msumbiji,etc vilijichinja na kujichimbia kaburi vyenyewe bila kuguswa na mtu?
 
Wewe ni kilaza sana!Unafikiri kama hakuna mifumo thabiti ya chaguzi ambazo ni huru na haki basi hawa madikteta watatawala milele?Unaelewa kuwa vyama vyote vya kidekteta Afrika kuanzia Zimbabwe,Angola,Kenya,Msumbiji,etc vilijichinja na kujichimbia kaburi vyenyewe na havikuwa kuondolewa kwa kura?
Hata kama hawatatawala milele ila sio chama wakala wa mashoga na wasagaji wa chama cha Mbowe. Anti-Pas Lissu na Mbowe mjasiriamali wa ruzuku waingie ikulu aaah wapi na wapi kamanda.
 
Wewe ni kilaza sana!Unafikiri kama hakuna mifumo thabiti ya chaguzi ambazo ni huru na haki basi hawa madikteta watatawala milele?Unaelewa kuwa vyama vyote vya kidekteta Afrika kuanzia Zimbabwe,Angola,Kenya,Msumbiji,etc vilijichinja vyenyewe?
Mgombea wenu analia, wafuasi mnalia Kila mtu kwenye chama chenu analia chama cha waliaji acheni kupiga kura maana mnajipotezea muda. Kumpigia kura Mbeligiji ni sawa na kuunga mkono usaliti. 28/10/2020 tutaelewana tu.
 
Ukweli mchungu ni kwamba CCM inajichinja yenyewe na itajichimbia kaburi yenyewe bila kuguswa na mtu!
 
Ukweli mchungu ni kwamba CCM inajichinja yenyewe na itajichimbia kaburi yenyewe bila kuguswa na mtu!
Labda baada ya miaka 50 ijayo lakini kwa hawa wasaliti watasubiri Sana. Kama unabisha utaona kwenye sanduku la kura za uraisi. Mbeligiji kama atapata asilimia 20 ya kura akatambike.
 
Labda baada ya miaka 50 ijayo lakini kwa hawa wasaliti watasubiri Sana.Kama unabisha utaona kwenye sanduku la kura za uraisi. Mbeligiji kama atapata asilimia 20 ya kura akatambike.
Nitaona kwenye sanduku la kura?!Mnadai kuwa kwa kipindi cha miaka mitano magufuli amefanya mambo makubwa sana.Kama amefanya mambo makubwa sana inakuwaje yeye leo hii ahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye?Unaelewa kuwa kitendo cha magufuli cha kuomba kura kwa kupiga magoti ni kwamba anawahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye?

Yaani uwafanyie wananchi mambo makubwa sana halafu ukawaombe tena kuwatumikia kwa kupiga magoti?Inaleta sense?Kama amewafanyia wananchi mambo makubwa sana ni nani anatakiwa kumuhitaji mwenzake kwa kupiga magoti?

Kama amewafanyia wananchi mambo makubwa sana hao wananchi ndiyo wanapaswa kumpigia Magufuli magoti kumuomba aendelee kuwa Rais wao ili aendelee kuwafanyia mambo makubwa,ila hapa inakuwa ni kinyume chake yaani Magufuli ndiye anapiga magoti!Kama Magufuli amewafanyia watu mambo makubwa sana basi atulie hayo mambo makubwa yamnadi na siyo yeye ajinadi mwenyewe tena kwa kupiga magoti.

Hii inamaanisha nini?Hii ina maana Magufuli anajua kabisa hakuna la maana alilofanya kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita na anachofanya sasa hivi ni anataka achukue madaraka kwa njia ya kulaghai wananchi(Magoti).Huwezi kufanyia watu mambo makubwa halafu badala ya hao watu wakuhitaji wewe kuliko wewe unavyowahitaji wao iwe kinyume chake yaani eti wewe uwahitaji wao kuliko wao wanavyokuhitaji wewe.

Magufuli ni tapeli asiekuwa na aibu aliekosa kibali cha wananchi na ni heri ajitoe kwenye kinyang'anyiro hiki tena kabla hata haijafika Oct 28 apishe wenye kibali cha wananchi wachukue dola.
JamiiForums312469786.jpg
 
Nitaona kwenye sanduku la kura?!Mnadai kuwa kwa kipindi cha miaka mitano magufuli amefanya mambo makubwa sana.Kama amefanya mambo makubwa sana inakuwaje yeye leo hii ahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye?Unaelewa kuwa kitendo cha magufuli cha kuomba kura kwa kupiga magoti ni kwamba anawahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye?

Yaani uwafanyie wananchi mambo makubwa sana halafu ukawaombe tena kuwatumikia kwa kupiga magoti?Inaleta sense?Kama amewafanyia wananchi mambo makubwa sana ni nani anatakiwa kumuhitaji mwenzake kwa kupiga magoti?

Kama amewafanyia wananchi mambo makubwa sana hao wananchi ndiyo wanapaswa kumpigia Magufuli magoti kumuomba aendelee kuwa Rais wao ili aendelee kuwafanyia mambo makubwa,ila hapa inakuwa ni kinyume chake yaani Magufuli ndiye anapiga magoti!Kama Magufuli amewafanyia watu mambo makubwa sana basi atulie hayo mambo makubwa yamnadi na siyo yeye ajinadi mwenyewe tena kwa kupiga magoti.

Hii inamaanisha nini?Hii ina maana Magufuli anajua kabisa hakuna la maana alilofanya kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita na anachofanya sasa hivi ni anataka achukue madaraka kwa njia ya kulaghai wananchi(Magoti).Huwezi kufanyia watu mambo makubwa halafu badala ya hao watu wakuhitaji wewe kuliko wewe unavyowahitaji wao iwe kinyume chake yaani eti wewe uwahitaji wao kuliko wao wanavyokuhitaji wewe.

Magufuli ni tapeli asiekuwa na aibu aliekosa kibali cha wananchi na ni heri ajitoe kwenye kinyang'anyiro hiki tena kabla hata haijafika Oct 28 apishe wenye kibali cha wananchi wachukue dola.View attachment 1605837
Ndugu yangu wewe unahitaji kupewa siri ya vyama vya siasa. Kwataarifa yako Magufuri angeweza kukaa Ikulu na kuomba kura kwa kupitia television tu ushindi uko palepale. Ila wanachofanya sasaivi ni kuongeza aslimia zaidi za kura za Raisi na Wabunge Ruzuku ya chama iongezeke na chama kizidi kuwa na uwezo wa kifedha zaidi. Yani CCM unahitaji ushindi wa asilimia zaidi ya 85.
 
Nimekuuliza maswali yangu ya msingi sana kwenye comment yangu ila hujajibu hata moja.Nasubiria majibu!
 
Wapiga kura kwa mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 na mwaka 2020 ni 29,804,992 Hivyo mshindi wa uchaguzi mwaka huu ataamriwa na hawa wapiga kura wapya takribani milioni sita na nusu.

Ikumbukwe kuwa hawa ni vijana angalau waliomaliza darasa la saba na kuendelea ambao walikuwa UNDER 18 mwaka 2015 na wale wote walioona umuhimu wa kupata kadi ya mpiga kura baada ya kushindwa kupata kadi ya NIDA.

Hawa aidha watampigia Lissu au Magufuli. Tusubiri tarehe 28.

Idadi ya wapiga kura Tanzania waongezeka
hao 6.4 milion ni waliomaliza shule na vyuo, hawana ajira, wanalimbikiziwa madeni na HESLB, wanafanaya usaili lakininhakuna ajibu.
 
Nimekuuliza maswali yangu ya msingi sana kwenye comment yangu ila hujajibu hata moja.Nasubiria majibu!
Nimeona ni maswali yakipuzi unahitaji mjinga aweze kujibu. Kwani wewe ujui huu ni wakati wakuomba kura. Kila mtu anastaili yake kulingana na mila na desturi za eneo husika. Hatakama angewepelekea ugali au kuwanunulia simi watanzania wote ni lazima kuwa mnyenyekevu kwa watu ambao unaingia nap mkataba wa kuwaongoza. Anaweza kupiga pushap anaweza kulala au kupiga magoti lakini yote kwa yote lengo ni kuomba kura kwa unyenyekevu na kwa rugha njema kwa wapiga kura wake. Ova Magufuli mi 5 tena.
 
hao 6.4 milion ni waliomaliza shule na vyuo, hawana ajira, wanalimbikiziwa madeni na HESLB, wanafanaya usaili lakininhakuna ajibu.
Ukumbuke mwaka 2015 CCM ulikuwa na wapiga kura milio 8. Lakini sasa wameongezeka kufikia milioni 14. Sasa angalizo inawezekana hao milioni 6 waliongezeka ni kwasababu ya kupata hamasa ya maendeleo ya miaka5. Tumeshuhudia ongezeko kubwa la wanaccm kwenye uchaguzi wa ndani ya chama, tusubiri 28/10/2020 kwenye box la kura. Tuache ramri...za kisiasa.
 
Wengine walitafuta ID zile kwa umuhimu wa ID yenyewe,
ID ilikuwa na nguvu ya kusajili,.kupiga kura, kudhamini, etc. Hivyo huwezi sema wote ni wapiga kura.
Wapiga kura ni wale:-
-Wanaowahi kituo cha kupiga na hasa kufanikiwa kupiga kura.
 
Nimeona ni maswali yakipuzi unahitaji mjinga aweze kujibu. Kwani wewe ujui huu ni wakati wakuomba kura. Kila mtu anastaili yake kulingana na mila na desturi za eneo husika. Hatakama angewepelekea ugali au kuwanunulia simi watanzania wote ni lazima kuwa mnyenyekevu kwa watu ambao unaingia nap mkataba wa kuwaongoza. Anaweza kupiga pushap anaweza kulala au kupiga magoti lakini yote kwa yote lengo ni kuomba kura kwa unyenyekevu na kwa rugha njema kwa wapiga kura wake. Ova Magufuli mi 5 tena.
Umejitoa sana kwa kuwafanyia wananchi mambo makubwa sana kwa kipindi cha miaka mitano.Ni nani atamuhitaji mwenzake zaidi?Wewe utawahitaji wananchi zaidi au wananchi watakuhitaji wewe zaidi?
 
Nakumbuka sana hili suala tumelijadili sana hapa JF.

Kuna mdogo wangu yupo NBS,nilimuomba takwimu za idadi ya makundi rika ya Watanzania.

Kitu nilichokiona hakiakisi uhalisia huu wa idadi ya waliojiandikisha kupiga kura.

Takwimu za wapigakura halisi waliojiandikisha haiwezi kuwa nusu ya idadi ya Watanzania wote.
Haiwezekani.
Mkuu Residentura, unatak kutuambia hizo namba peke yake ni dalili za wizi wa kura na inawezekana ndio hao |hewa sio ?, kwa sababu nami nakumbuka mwaka 2015 wapiga kura walikuwa mor or less ya 14 million, sina hakika sana na figure tunapoambiwa leo ni zaidi ya 25million ni lazima ilete mashaka, na ccm kuendelea kuingia madarakani kwa wizi wa kura sijui itaisha lini ??,
 
Wanyonge 28/10/20202 asubui mapema kabisa, tutakwenda na Rais wa wawanyonge JPM. Magufuri mi 5 tena.
D day ni 28/10. Mshindi kwa mujibu wa matokeo ya kura za uchaguzi ni Lissu na atatangazwa kuwa msindi na kuapishwa kuwa Rais.
Zama za UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU zimeshafika. SASA BASI.
 
Wapiga kura kwa mwaka 2015 walikuwa 23,161,440 na mwaka 2020 ni 29,804,992 Hivyo mshindi wa uchaguzi mwaka huu ataamriwa na hawa wapiga kura wapya takribani milioni sita na nusu.

Ikumbukwe kuwa hawa ni vijana angalau waliomaliza darasa la saba na kuendelea ambao walikuwa UNDER 18 mwaka 2015 na wale wote walioona umuhimu wa kupata kadi ya mpiga kura baada ya kushindwa kupata kadi ya NIDA.

Hawa aidha watampigia Lissu au Magufuli. Tusubiri tarehe 28.

Idadi ya wapiga kura Tanzania waongezeka
Hiyo idadi ya wapiga kura,ila wataojitokeza sio wote tumia akili.
 
Back
Top Bottom