usipoteze muda na tv za watu aisee, huo ni mradi wao, wameugarimia kwa pesa yao, usiwapangie sana. na wewe tafuta pesa weka tv ya mambo unayoyapenda. kiufupi, hata mimi ningekuwa na tv nisingependa kuweka sana mambo ya imani yao kwasababu siiamini kama ni imani sahihi bali huwa naamini ni ya uongo. hiyo ni nature kila mwanadamu anayo. cha kukushauri, weka tv za imani yako, au hamia DSTV au star time. usibishane nao.
wengi walilalamika, hata kuweka yale matamthilia yanayohamasisha watu kuuana, tunajua tamaduni za middle east kuchinja mtu huwa sio ajabu, na inahamasishwa,ndio maana hata hapa unapooa utakuta mme anavaa panga kiunoni kama masai, ni imani za chinjachinja hata kama hawachini imebaki tu historia kwa huku kwetu na watoto ndio walikuwa anaangalia sana. yale matamthilia ya uturuki. ni namna wanafanya kuusambaza zaidi imani yao, na siwalaumu kwasababu hata mimi huwa napenda kusambaza zaidi imani yangu. hutakiwi kuwalamu. cha muhimu ishi tu kwa kuheshimu imani na hisia za kila mtu kama hazikudhuru, mengine fumbia macho.
huu ndio ukweli ambao wengi hawatausema.