Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?

Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Ulishawahi kuongea na Mungu ukajua ana taka nini?
 
Mpira ni public interest haifai kuwa na maudhui ya kidini
Yaani umekwama na , wapemba, waarabu, mara wayemen, hadi waislam. Sema sipendi waislam na vitu vyao, huna haja ya kuanzisha ajenda ya kupiga uislam vita kupitia tv za watu, ni mpango muovu acha
 
Azam media ndiye mwenye haki za kurusha matangazo ya mpira ligi kuu Tanzania kama anaweka maudhui ya udini tayari anakosa sifa
Mbona kwenye ziara ya rais pale Dodoma huwa wanaonesha msikiti wa Gadafi na adhana inatoka tunasikia kupitia Tbccm,matangazo ya habari kuna picha ya lile kanisa kubwa la Posta silijui jina,hata picha za kuonesha Bandar ya Dar na yale majengo marefu kanisa na msalaba wake huoneshwa.....mbona hausemi,tuseme tu wewe ni mdini mpuuzi mmoja unataka kuleta chuki kwa Azam media.
Hamasisha watu wenu makanisani waache kununua na kuangalia mpira kupitia Azam tv kama utafanikiwa.
 
Ndio wataishia pabaya kwasababu wanachanganya udini kwenye mpira
Huyu jamaa ni lofa sana aisee yaani et coverage kubwa ni msikiti. Anavyoongea utafikiri ni yeye pekeake huwa anaangalia mpira. Watu wamefikia hatua ya kushauri azam TV itumike kama VAR kwa sababu ya ubora wa urushaji matangazo ya mpira yeye anakwambia sijui wataishia pabaya.
 
Mpira ni public interest hautakiwi kuchanganywa na udini

Ile media ichague kusajili km chombo cha dini au kubaki na usajili wake
Ndo maana nilipokuwa early teen niliamini sana kuwa matusi humfanya mtu akili ikae sawa, yaani ukimtukana anakuwa sawa na mambo yalienda vizuri. Now umri umeenda matatizo ni mengi sana.
katoa mada kanavyojieleza utafikiri kenyewe ndo huwa kanaangalia huo mpira pekeake. Kajinga sana haka.
 
Huo ni mtazamo wako mdogo ila wapiga picha wa mpira ligi kuu Tanzania ambao wanatoka azam media kwa kiasi kikubwa maudhui yao yamejaa udini
Ila kuna watu wadini, nafikiri ile assalam aleykum, amani iwe nanyi ya mpenja inakukera sana.
Kwamba kwa sababu dodoma wanaonesha msikiti na singida waoneshe msalaba.

MImi huwa naangalia mpira home(natazama matukio yote) lakini kuna wadada ambapo hawajavaa ushungi wanaoneshwa(mpenja atasema waoo mlimbwendeee huyu), wanaume ambao hawajavaa kanzu pia wanaoneshwa etc
Hayo madai yako hayana msingi wowote.
 
Nimefika egypt na South Africa ndani ya bara letu
Nimefatilia hizo ligi hazina maudhui ya udini km wazalishaji wa Azam
Tembea uone mkuu acha ushamba huo…..kwani afya sio public service
 
Mpira ni public interest hauwezi kuchanganywa na udini
Hivi huyo azam asiporusha msalaba..picha za christmas au akabase kwenye uislam tu yesu hatakua mkombozi wa ulimwengu..??jibu NO...na kingine those rich guys don't give a fuc.. about your fu....opinions....
Uache kuangalia vyenga na mitetemo ya dada mayele..unahangaika na dini kaka..?
Ok basi ukiona huwez kuangalia hayo..base tu kumcheki aziz ki venye anatema mate...
 
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha

Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu

Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss

Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?

Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV

Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao

Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane

Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini

TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu

Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora

Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Mbona MAMA J alionyeshwa sana tu na Camera za Azam akiwa uwanjani na wala hakuwa amevaa baibui wala kanzu.
 
Nakupinga mtia mada sio mdini, wadini ni wale wanaojaribu kuchanganya mpira na udini
Huyu mtoa mada hayuko sawa kichwani..rejea mada zake za nyuma,ni mtu wa kupuuza! Ni mdini asiye paswa kuzingatiwa.
 
Mpira ni public interest hautakiwi kuchanganywa na udini
NA ITOSHE KUSEMA MTOA MADA NI CHOKO...EBU UWE UNAPUNGUZA MAKASIRIKO K WW KWANI NI LAZIMA UTAZAME AZAM AU UMETUMWA KUICHAFUA?? MARA NGAPI CAMERAMAN WANAMUONESHA MAMA J SIKU AKIWA UWANJANI?? YAANI UMEJAA CHUKI ZA KIDINI KAMA SHOG* KHAA MNAKERA SANA *****
 
Back
Top Bottom