Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

NA ITOSHE KUSEMA MTOA MADA NI CHOKO...EBU UWE UNAPUNGUZA MAKASIRIKO K WW KWANI NI LAZIMA UTAZAME AZAM AU UMETUMWA KUICHAFUA?? MARA NGAPI CAMERAMAN WANAMUONESHA MAMA J SIKU AKIWA UWANJANI?? YAANI UMEJAA CHUKI ZA KIDINI KAMA SHOG* KHAA MNAKERA SANA *****
 
Uko makin mkuu,hata mimi huwa nawachora tu

iLe tamthilia ya Osman bey au ile ya Etugrul,ingekuwa wakristo wanatabia kama za hawa ndugu zetu ingekuwa imeshazuiliwa

Maana kwenye Etugrul na hyo ya Osman bey kuna scene zinaonekana wakristo wakiuawa na hao watu wanaopenda kusema Allah wakibaru
Hiyo ni historia , mbona Wajapan hawalalamiki wachina kuwa na movies za kuua Wajapan ?
 
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha

Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu

Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss

Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?

Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV

Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao

Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane

Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini

TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu

Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora

Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Wewe unategemea watu wenye elimu ya madrasa peke yake wawe na akili ya kuchambua mambo? Wao wanaamini wataenda peponi kwa matukio wanayoonesha.
 
Huu udini unaosemwa upo hapa jamiiforum tu .ila kiuhalisia mambo ni shwari.
 
Waliozoea kubagua wenzao ndio wao wana ona kila mtu ni mbaguzi kama yeye.
 
NA ITOSHE KUSEMA MTOA MADA NI CHOKO...EBU UWE UNAPUNGUZA MAKASIRIKO K WW KWANI NI LAZIMA UTAZAME AZAM AU UMETUMWA KUICHAFUA?? MARA NGAPI CAMERAMAN WANAMUONESHA MAMA J SIKU AKIWA UWANJANI?? YAANI UMEJAA CHUKI ZA KIDINI KAMA SHOG* KHAA MNAKERA SANA *****
Mleta mada hana akili na Kazi ya kufanya , udini umemjaa mada zake kila siku lazima zihusu waislamu au Waarabu kwa ubaya.
IMG_20221225_211743.jpg

IMG_20221225_211722.jpg
 
Huyu mtoa mada hayuko sawa kichwani..rejea mada zake za nyuma,ni mtu wa kupuuza! Ni mdini asiye paswa kuzingatiwa.
 
Naendelea na utafit. Dakika ni ya 52 wavaa kanzu na baibui hawajamulikwa na camera

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lengo ni wajinga mtupishe

Mpka saiv camera zimemulika jukwaan mara 4View attachment 2458098
20221225_212307.jpg
 
Hivi huyo azam asiporusha msalaba..picha za christmas au akabase kwenye uislam tu yesu hatakua mkombozi wa ulimwengu..??jibu NO...na kingine those rich guys don't give a fuc.. about your fu....opinions....
Uache kuangalia vyenga na mitetemo ya dada mayele..unahangaika na dini kaka..?
Ok basi ukiona huwez kuangalia hayo..base tu kumcheki aziz ki venye anatema mate...
 
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha

Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu

Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss

Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?

Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV

Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao

Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane

Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini

TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu

Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora

Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Wagalatia na nyie mmeanza tabia ya kulalamika?
 
Ila ni kweli, kuna namna flani hawa majamaa wanakuwaga na maudhui yenye mrengo fulani wa Kidini , Ukianza kuangalia kwanzia wafanyakazi wao Walio wengi, Salamu zao , Tamithilia zao na maudhui yake, Yaani japo mimi nawapenda sana kweli lakini kuna namna huwa nashindwa kuwaelewa.

Tatizo na sisi huwa kuna vitu tunaogopa kuvi Address na tunavichukulia poa, Mwisho wake tutakuja kukumbuka shuka Tayari kumekucha
Embu tutajieni watangazaji wao mkuu,
 
Hao jamaa ni wapumbavu kweli
Wajinga sana wadini

Huu mchezo upo sanaa hata ajira zao zipo kidini sana

Ni suala la muda huu mchezo utaisha
Kuna dada mmoja aliwahi pata kazi kwa kudanganya jina.

Sasa akawa anajisahau.

Wakimwita kwa jina jipya anakaa kimya kumbe kasahau jina lake la kuzugia.

Kujitetea akawa anawaambia ana matatizo ya masikio.

Ubaguzi wa kidini sio mzuri.
 
Back
Top Bottom