Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Mimi udini siujui wenye udini ni wale wanaotaka kuingiza udini kwenye maudhui ya mpira

Mpira ni public interest haipaswi kuwa na chembembe za udini

Mpira ni biashara
Sio mpira tu ni public interest hata mengineyo pia ili mradi lengo kuu lakuona tukio linatimia sasa km lengo linatimia shida yako ninini km sio mdini.

Kuna Hospital, Shule, usafiri wa umma hata huko pia kuna element za udini lkn lengo unapata shida iko wapi.

kama hospital iko chini ya Kanisa na inatoa huduma bora za afya na ndo lengo kuu jamii kupata huduma bora ya afya shida iko wapi na lengo linafika. Than utokee pakutoa useme hospital inaudini kisa manesi wanavaa mavazi ya kanisa utakuwa boya wakati huduma bora unapata.
 
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha

Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu

Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss

Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?

Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV

Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao

Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane

Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini

TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu

Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora

Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Kama ni msalaba unataka kuuona funga safari mpaka Singida kautazame ukichoka rudi nyumbani
 
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Hiyo ni agenda iliyofichika ...majibu utakuja kuyajua miaka kadhaa baadaye

Kuna siku nilikuwa kwenye tafrija moja yenye togwa, makuhani walisisitiza kurejea kwenye vinywaji vya asili na kuepuka magonjwa yanayotengenezwa na wasindikaji
 
Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?

Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
eti Mungu anavyopenda , hayo ni mavazi ya waarabu
 
Ile media kuna mkono wa waturuki ndio sababu ya kuwa hivyo hata filamu zao zimekaa kidinidini
 
Mpira hauwezie kugeuzwa kichaka cha udini
Km yeye lengo lake ni dini asajili media km kwa ajili ya dini sio mpira

Kusema hospital inamaudhui ya dini sio kweli
Sio mpira tu ni public interest hata mengineyo pia ili mradi lengo kuu lakuona tukio linatimia sasa km lengo linatimia shida yako ninini km sio mdini.

Kuna Hospital, Shule, usafiri wa umma hata huko pia kuna element za udini lkn lengo unapata shida iko wapi.

kama hospital iko chini ya Kanisa na inatoa huduma bora za afya na ndo lengo kuu jamii kupata huduma bora ya afya shida iko wapi na lengo linafika. Than utokee pakutoa useme hospital inaudini kisa manesi wanavaa mavazi ya kanisa utakuwa boya wakati huduma bora unapata.
 
Hao jamaa ni wapumbavu kweli
Wajinga sana wadini

Huu mchezo upo sanaa hata ajira zao zipo kidini sana

Ni suala la muda huu mchezo utaisha
Kumbe hata ajira kigezo dini
Ngoja nitafute connection
Nikienda full mabaibui
 
Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha

Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu

Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss

Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume

Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?

Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV

Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao

Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane

Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini

TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu

Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora

Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Wewe jamaa una shida kubwa Sana sijui Kama unajua..unahitaji msaada wa kisaikolojia.walonielewa watanielewa
 
azam ni wabaguzi wa kidini kuanzia kuajiri nk.
 
Mpira ni public interest km azam media ana mahaba na dini yake asajili km chombo cha dini aombe kibali icho la sivyo hana nafasi Tanzania
Wewe ndio umewaza hivyo mkuu, ila kama unapata ulicholipia sioni haja ya kulalamika. Unataka uone mechi au uone makanisa!?
 
Mpka saiv Dakika ni ya 37 sijaona wavaa kanzu na baibui wamemulikwa na camera.Naendelea na utafit

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiruhusu chuki kila kitu utaona hakipo sawaaView attachment 2458075
20221225_205234.jpg
 
Back
Top Bottom