Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ila magaidi wote ni waislamu Al Qaeda, Al shabby, istamic state n.kUnashangaa mimi kuua wakati mungu wenu ndani ya biblia ndo bingwa wa ukatili na mauaji.
We kafiri vipi kukosa kwako mume wa kukuoa kusiwe sababu ya kujisahaulisha ukatili wa mungu wenu.
Ebu msome hapa chini ujue ukatili wake
View attachment 2458510
Kwani uongo?Onyesha comment inayosema Mungu katukataza kutumia azam tv ..Mimi nitakuonyesha wanaosema Mungu kawakataza kusherekea Christmas kama sio chuki dhiki ya wakristo na sherehe zao ni nini?
Kaka em jiheshim bas.Umewatuhumu azam wan udin kisa wanaonesha wavaa kanzu na baibui tumekuomba uthibitisho unaleta bla bla bla za kiswahili
Jan kulikua na game,nmekwmabia kaangalie kisha ulete ushahid unabak kubwabwaja
Tumeleta ushahid wa picha za mashabik ambazo azam wamechukua
Maelezo yasio na uthibitisho ni yakuupzwa. Lete ushahid acha kelel
Leo Anacheza simba na kcmc kalete ushahid sio siasa zako
Hakuna udini wowote tatizo mimacho yako umeiweka kwenye engo hiyo, kwa mfano mechi ya Azam na Yanga udini ulikuwa wapi?
Teeh binti mbona una hasira sana!Ila magaidi wote ni waislamu Al Qaeda, Al shabby, istamic state n.k
Nilichogundua wew ni mwehu mmojaMpira ni public interest hautakiwi kufungamanushwa na maudhui ya udini kama baadhi ya matukio yanavyofanywa na Azam media! Atafeli
Acha uongo mkuu, hautapunguza umasikini wako mkuu, hivi unajua huko uhai mkurugenzi alishakuwa tido mhando?Sisi hatufatilii maudhui ya mechi moja tunafika maudhui yao hao wenye haki ya kurusha mpira wa Tanzania
Maudhui yao wanaingiza udini
Wafuasi wa ki-islamu ndo wanaongoza kuua watu na kuwalazimisha kuwa waislamu, Ila mungu ameshindwa KUWASAIDIA wapalestina kabisaMungu wenu alipata mafunzo ya kuua wapi?
Mbadala ni atokee nguli mwingine amwage pesa za mafuta kiwekwe kingambuzi kingine chenye ushindani apart from that hapo ni sawa na kumpegea mbuze getaaa hawakusikii na hata wakikusekea watakupuuuza masikini utamwambia nini tajiri akakuelewa?, tafuta pesa utuwekee kingambuzi chenye kuonyesha misalaba au waambie wazee wa Continental waonyeshe mpira km Azam km watakuelewaAzam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Maadili ya TCRA Yanakataza?Maadili ya utangazaji kwa nchi secular lazma yazingatiwe! Sidhani kama miongozo ya TCRA inahimiza upuuzi unaoongelewa!
usipoteze muda na tv za watu aisee, huo ni mradi wao, wameugarimia kwa pesa yao, usiwapangie sana. na wewe tafuta pesa weka tv ya mambo unayoyapenda. kiufupi, hata mimi ningekuwa na tv nisingependa kuweka sana mambo ya imani yao kwasababu siiamini kama ni imani sahihi bali huwa naamini ni ya uongo. hiyo ni nature kila mwanadamu anayo. cha kukushauri, weka tv za imani yako, au hamia DSTV au star time. usibishane nao.Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Umenikumbusha enzi zile naangalia Bongo Movies, movies kibao utakuta kuna maudhui ya kilokole. Mara watu wana matatizo mwisho mlokole anakuja kuwaombea yanaondoka wanaokoka.Ile media kuna mkono wa waturuki ndio sababu ya kuwa hivyo hata filamu zao zimekaa kidinidini
heshimuni dini za watu na imani yao Azam Tv siyo Television ya TaifaHao jamaa ni wapumbavu kweli
Wajinga sana wadini
Huu mchezo upo sanaa hata ajira zao zipo kidini sana
Ni suala la muda huu mchezo utaisha
unateseka ukiwa wapi?Ndio maana sijanunua Azam kingamuzi wapuuzi tu
Nilichogundua wew ni mwehu mmoja
Am out[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Acha uongo mkuu, hautapunguza umasikini wako mkuu, hivi unajua huko uhai mkurugenzi alishakuwa tido mhando?
nyinyi ni wadini na wabaguzi hii nchi yetu sote usituingilie kwenye imani zetuMpira hautakiwi kubeba maudhui ya udini ila ajabu waliopewa hatimiliki ya kurusha mpira ndio wanaonyesha dalili za kukumbatia udini
usipoteze muda na tv za watu aisee, huo ni mradi wao, wameugarimia kwa pesa yao, usiwapangie sana. na wewe tafuta pesa weka tv ya mambo unayoyapenda. kiufupi, hata mimi ningekuwa na tv nisingependa kuweka sana mambo ya imani yao kwasababu siiamini kama ni imani sahihi bali huwa naamini ni ya uongo. hiyo ni nature kila mwanadamu anayo. cha kukushauri, weka tv za imani yako, au hamia DSTV au star time. usibishane nao.
wengi walilalamika, hata kuweka yale matamthilia yanayohamasisha watu kuuana, tunajua tamaduni za middle east kuchinja mtu huwa sio ajabu, na inahamasishwa,ndio maana hata hapa unapooa utakuta mme anavaa panga kiunoni kama masai, ni imani za chinjachinja hata kama hawachini imebaki tu historia kwa huku kwetu na watoto ndio walikuwa anaangalia sana. yale matamthilia ya uturuki. ni namna wanafanya kuusambaza zaidi imani yao, na siwalaumu kwasababu hata mimi huwa napenda kusambaza zaidi imani yangu. hutakiwi kuwalamu. cha muhimu ishi tu kwa kuheshimu imani na hisia za kila mtu kama hazikudhuru, mengine fumbia macho.
huu ndio ukweli ambao wengi hawatausema.
Ahsante sana kwa kutuzindua. Kumbe ni wa kumpuuza tu.Mleta mada hana akili na Kazi ya kufanya , udini umemjaa nada zake kila siku lazima zihusu waislamu au Waarabu kwa ubaya. View attachment 2458088
View attachment 2458089