Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Km azam media hatambui dini zingine anakosa sifa za kuwa chombo cha habari kwasababu haikusajiliwa km chombo cha dini

Mpira hauna itikadi ya dini,anapoingiza udini tayari anakosa sifa na media itapotezwa
kifupi unaumia kuona Azam ni mali ya Muislamu
Pole sana!
 
Hakuna anayeongoza imani ya mtu

Tunaongelea mpira wa Tanzania ambao ni public interest kuchanganywa na maudhui ya dini
Mwenye haki ya kurusha tayari anapoteza sifa kuingiza maudhui ya dini kwenye mpira
nyinyi ni wadini na wabaguzi hii nchi yetu sote usituingilie kwenye imani zetu
 
ulitaka Waislamu wavae msalaba? Pole sana ndugu yangu unateseka ukiwa wapi?
 
Hatuwezi kuaacha kwasababu mpira wa Tanzania sio mali ya azam media ni public interest

Angekuwa anarusha ligi ya Oman hakuna angefatilia
lakini si unajua mmiliki wa tv hiyo ni muarabu tena muislam? ungekuwa na hela yako ungependa itumike kuhamasisha kitu kilicho kinyume na imani yako? kuwa mkweli.
 
Tafuta Tv nyingine uangalie haiwezekani utupangie mavazi ya kuvaa
 
Pole sana!
 
Mpira sio sehem ya kutangaza dini mpira ni sehemu ya kuunganisha watu

Azam media anapoingiza maudhui ya dini tayari anakosa sifa
lakini si unajua mmiliki wa tv hiyo ni muarabu tena muislam? ungekuwa na hela yako ungependa itumike kuhamasisha kitu kilicho kinyume na imani yako? kuwa mkweli.
 
Hakuna anayeongoza imani ya mtu

Tunaongelea mpira wa Tanzania ambao ni public interest kuchanganywa na maudhui ya dini
Mwenye haki ya kurusha tayari anapoteza sifa kuingiza maudhui ya dini kwenye mpira
wewe ndiye umekunywa sumu ya udini na imekutafuna mapafu na maini
tuacheni nenda akafungue Tv yako
 
Mpira wa Tanzania ni kwa watanzania wote bila kujali imani zao na mwenye haki ya kurusha matangazo ni azam media

Yeye kuleta maudhui ya dini kwenye mpira tayari anakosa sifa
Tafuta Tv nyingine uangalie haiwezekani utupangie mavazi ya kuvaa
 
Mpira wa Tanzania sio mali ya dini ni takwa la umma lazima mwenye haki ya kurusha mpira azingatie hilo
wewe ndiye umekunywa sumu ya udini na imekutafuna mapafu na maini
tuacheni nenda akafungue Tv yako
 
Mpira sio sehem ya kutangaza dini mpira ni sehemu ya kuunganisha watu

Azam media anapoingiza maudhui ya dini tayari anakosa sifa
ukiwa na pesa, lazima utakuwa na msimamo na pesa zako. binafsi hata enzi za ujinga kabla sijamjua Bwana, kwasababu sinywi pombe, sijawahi kutoa pesa yangu kumnunulia mwanamke au mtu yeyote pombe. wanawake wengine tulikuwa tunakutana wanaomba niwanyweshe kwanza kabla ya kufanay uchafu lakini nawaambia sumu mojawapo kwanguni pomba, pesa yangu haitakiwi kunnua pombe. ninachoongea hapa, ukiwa na pesa na una imani fulani usingependa pesa/jasho lako litumike kuimarisha jambo ambalo haulipendi, cha msingi wewe tafuta tv zingine uangalie, hao hata usiwalaumu kwanza wamejitahidi sana hata kuweka channel za kikristo, wengine wasingeweka kabisa.

waarabu ni wa ajabu sana kwenye imani, huwaambii kitu. sema kuna mmoja nilikuta kule dodoma, shabiby, kwenye hotel zake hata pombe unapata. nikasema uyu kweli mwarabu wa Gairo. nipo najenga lodge zangu fulani, na humo sitaruhusu pombe kuuzwa, na watakaoingia na kuzini humo lazima watakutana na tangazo kwamba uzinzi ni dhambi.
 
Umejaribu kuwa honest kuliko wenzio. Ila hapa nilipokuquote narekebisha kidogo, hivi kuna wanaowazidi Hollywood katika ku depict violence? Ima ya kihistoria au matukio ya kutunga? Kusema kuwa ni tamaduni za Middle East kuhamasisha kuchinjana ni unapotosha kwa makusudi.

Kama vita, ni sehemu ya binadamu katika historia yake kupigana. Ndio maana tunashuhudia leo Urusi anauana na ndugu zake Ukraine na sio Waislam wala hawana asili ya Middle East. Kumekuwa na vita kuu mbili za dunia zilizosababishwa na wazungu wasio Waislam na ndio hao hao wanahatarisha vita kuu nyengine (Allah aepushie mbali). Na vita nyengine kibao. So kusema watu fulani tu ndio wanautamaduni wa kupigana Vita ni kuamua kujidanganya mwenyewe.

Na hayo mambo ya kuvaa jambia ni katika tamaduni tu kuashiria ukakamavu na ujasiri na kujihami. Na hilo lipo kwa jamii nyingi duniani. Sio Middle East tu. Ndio maana ukawataja na Masai pia. Na hao wanaoweka jambia wana tofauti gani na wanaotembea na bastola kwa sasa kama ishara ya kujihami?

Na hizo tamthilia (mimi siziangalii) hazina tofauti na movies za Hollywood za kihistoria zinazo onesha matukio ya kihistoria kama matukio ya vita. Ambayo pia watoto wanaangalia.

Wewe mlokole kuwa muadilifu.
 
Unatoa mifano ya kijinga isiyohsiana

Misimamo ya mwarabu inahusiana nini na nchi yetu ya Tanzania

Kama wanansimamo yao ya kidini basi wanakosa sifa za kuonyesha mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…