uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
-
- #41
Ila ni kweli, kuna namna flani hawa majamaa wanakuwaga na maudhui yenye mrengo fulani wa Kidini , Ukianza kuangalia kwanzia wafanyakazi wao Walio wengi, Salamu zao , Tamithilia zao na maudhui yake, Yaani japo mimi nawapenda sana kweli lakini kuna namna huwa nashindwa kuwaelewa.
Tatizo na sisi huwa kuna vitu tunaogopa kuvi Address na tunavichukulia poa, Mwisho wake tutakuja kukumbuka shuka Tayari kumekucha
Mmeanza kuwa walalamikaji siku hizi, wenzenu wakiwasema huwa mnawaita wadini na nyie muitwe wadini.
Tafuta TV nyengine utazame wasikuumize moyo.
Hujanunua Ila Upo Live kila Mechi KuangaliaNdio maana sijanunua Azam kingamuzi wapuuzi tu
Hebu weka clip tuone wanavoonesha watu waliovaa kanzu tu na misikiti
Wenda nikampeni ya chini chini imeanza
Uko makin mkuu,hata mimi huwa nawachora tu
iLe tamthilia ya Osman bey au ile ya Etugrul,ingekuwa wakristo wanatabia kama za hawa ndugu zetu ingekuwa imeshazuiliwa
Maudhui ya dini kwenye mpira yanaruhusiwa?
nAkaa kimya kwasababu dini zina nafasi ndogo sana kwangu ingawaje hv vitendo vya hawa jamaa huwa navionaUsikalie kimyw uovu km hautakupata wewe utawapata watoto wako
Una ushahidi wa Azam TV kuonesha maudhui ya kidini kwenye matangazo yake ya mpira?
Zaidi ya hiyo dhahania ya kwamba wanaooneshwa pekee ni waliovaa mavazi fulani tu...
Juzi nimeangalia bbc wale watangazaji wanaojielewa na imani zao kwenye tangazo la kuwish hzo sikuku neno krismas hawakulitamka….
Ata mimi mwenyewe kazini nawatakia kheri ya sikukuu rafika zangu ila kamwe sitamki neno krismas……ni swala la kiimani na akili kichwani.
Azam tv inamilikiwa na muislamu lazima ipige chapuo imani ya kiislamu penda usipende…..
Kama baadhi ya vituo vya afya vinavyomilikiwa na wachungaji/wakristo kuna udini upo…..
NAWATAKIA SUKUKU NJEMA WANA JF
Mohamed Salah muarabu na muislamu anaejielewa na wako baadhi wasio na umaamuma kama yeye.
Yeye ni muislamu safi tena swala Tano lakini pia anatambua dini,Imani na tamaduni za watu wengine.
Sasa wale maamuma wa dini wameshupalia kweli kweli kisa kuwatakia wakristo heri ya sikukuu ya christmass.
Hii haifanyi Salah aonekane msaliti Bali inawafanya hao wanaompinga waonekane wabaguzi, washamba wa kidini, uncivilized people , washenzi wa tabia.
Dini zinatufanya tushindwe hata kufikiria logically
Cha ajabu wengine ni wasomi lakini wako blinded na hizo dini zao.
Ni MUNGU wanaemuabudu anayewabagua viumbe wake
Cha ajabu MUNGU huyo huyo huwapa jua, mvua, riziki wote bila kuwabagua wanamuheshimu na wasio muheshimu.
Azam media tangu awali Wana ajenda za kidini na za kibaguzi.
Muda utasema zaidi
Hawa jamaa na udini ni kama ulimi na mate, hata ajira zao kipaumbele chao ni watu wa imani ile. Ukiona wa imani tofauti na wao kaajiriwa ujue kawapita kwa mbali sana upande wa qualifications wale wa dini yao. Taratibu wameanza kujipambanua wazi na tunazidi kuwaelewa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
aliekataa kufungamana na wewe hatopatwa na chochote, tafuta chako.
Unataka niandike ushahidi gani zaidi ya huo
Kuwa kipaumbele ni kwa wale wenye maudhui ya dini fulani ndio kipaumbele?