uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
- #41
Watu wanawasoma kimya kimya hata watu wa juu mwisho wao hautakuwa mzuri
Ila ni kweli, kuna namna flani hawa majamaa wanakuwaga na maudhui yenye mrengo fulani wa Kidini , Ukianza kuangalia kwanzia wafanyakazi wao Walio wengi, Salamu zao , Tamithilia zao na maudhui yake, Yaani japo mimi nawapenda sana kweli lakini kuna namna huwa nashindwa kuwaelewa.
Tatizo na sisi huwa kuna vitu tunaogopa kuvi Address na tunavichukulia poa, Mwisho wake tutakuja kukumbuka shuka Tayari kumekucha