Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Niko hapa naangalia azam one na two. Matangazo ya heri ya Christmas ni mengi.


Sijui unaangalia azam ipi ila azam tunayoijua inafanya haki.Watu weng wamekuwa wakioneshwa mpka wakaa uchi.Sikumbuki ni lini nmeona kanzu na baibui zikioneshwa


Jaribuni kuchukua wachungaji na masister tuone kama hawatowaonesha.

Kazi ya azam ni kuonesha mpira sio washabiki

Umetawaliwa na chuki em badirika.Sas kama coverage ya msikitini DODOMA ni kubwa kuliko mpira unamaanisha mpira unaoneshwa Dakika 30 na huo msikiti ni Dakika 60 ,kipind cha uchambuz msikitini unaonekana sana kuliko story za mpira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wew jamaa ban chuki zitakuua.


Wew ulijuaje pale singida kuna msalaba ambao azam wanaukwepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Tunaruhusu uchinga vichwan mwetu kama mataila.
 
Acha upumbavu...Unatak kunambia hio tamthilia waislam hawauliwi. Nikola ni mkristo na ameua waislam

Hii nchi mbona wajinga weny smartphone ni weng hiv [emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]

#Inakera
 
Mpira ni public interest hatuwezi kuruhusu jamii yetu ya Tanzania iharibiwe na waarabu

Km wanaona wanajukumu la kutangaza dini wanachanganyia na mpira
unaporojo nyingi huna cha maana jamaa yangu.
Ving'amuzi vya Azam vipo Kenya,Uganda na nchi zingine za Africa,huko kote wasilalamike ulalamike wewe tu.
east Africa wanatumia bidhaa za Azam kwa furaha ni wewe tu na chuki zako za kidini zinazo kukondesha akili na mwili.
 
Anzisha kituo chako, unaweza badili channel ukaangalia ITV ya Kafiri mwenzenu.
 
Ndio wapiga picha wamekuwa wakiwamuluka zaidi wale wenye maudhui ya kiarabu ila mpira sio jukwaa ka dini hatafika mbali
 
Azam kuwa nje ya Tanzania haimaanishi kuwa hawana ajenda chafu,ajenda chafu wanayo tunaimulika na hii ndio Tanzania utapata majibu
Hii ni Tanzania sio arabun utajifunza hili taratibu
Mpira ni public interest
 
Ndio wapiga picha wamekuwa wakiwamuluka zaidi wale wenye maudhui ya kiarabu ila mpira sio jukwaa ka dini hatafika mbali
Mim sijaliona hilo nmeona watu wapo vichwa wazi na wengne wakaa uchi kinyume na iman ya kiislam lakin wameoneshwa. Kwan mama j ilipovuja video yake ya kachumbal tulijuaje alikuwa uwanjani kama mshabik wa yanga


Min napata hasira nkiona watanzania tunakua wajinga kiasi hiki [emoji15][emoji15][emoji2357][emoji2357][emoji2357][emoji2357]


Alaf acha ujinga kanzu na baibui sio uislam wapo ata wakristo huvaa[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Hata Mimi hili nimelisikia ila Sina hakika nalo....Sasa Kama ni kweli ni hatari....na Kama siyo kweli ni hatari pia..
 
Inawezekana...ila hizi hoja za elements za udini Hawa Azam wasipuuze kwani zimeanza siku nyingi...au inawezekana wanapakaziwa tu?!?! Labda baadhi wanaionea wivu Azam?!?!
kuna washindani wa Azam sokoni wanajaribu kupenyeza ajenda za udini ili kumshusha kwasababu bidhaa zao zinapigwa mkasi na bidhaa za Azam zinashindwa kuteka soko.
kwaio wanajaribu kupenyeza watu mitandaoni na plafrorm zingine kusambaza uzushi kwa kutafuta vijisababu vidogo kama huyu mleta mada.

sababu za huyu mleta mada kaonekana mtu kavaa kanzu uwanjani basi ndo eti ni sababu ya Azam waonekane wana udini.
anashindwa kujua kanzu ni vazi tu hata ambae sio muislam anaweza akavaa.Uganda Kanzu ni vazi la jadi au kabila hata Kagera kuna kabila kuvaa kanzu ni kwa matakwa ya mila au jadi sio anavaa kwasababu ni muislam hapana ni vazi lake la mila.
 
Hiyo inaathiri vipi suala zima la mpira wa miguu??

Kuna lawama nyingine ni za kijinga sana, kwani kuna mwanahisa mkristo? Angalia mechi acha udini wa kipumbavu
 
Kukaa mapaja wazi si ajenda

Ajenda ni kuwa mpira sio jukwaa la dini

Aliyeshinda kurusha mpira wa Tanzania ni azam media tena hakushindanishwa ila kugeuza mpira km jukwaa la dini fulani ni kujijengea kaburi
 
Sio kulisikia ndio iko hivyo kuwa hawa waluoshinda tenda wana ajenda nyuma ya pazia
Upo Tanzania haupo uarabuni hutakiwi kuwafumbia macho hawa waarabu wanaotaka kuharibu utamaduni wetu
Hata Mimi hili nimelisikia ila Sina hakika nalo....Sasa Kama ni kweli ni hatari....na Kama siyo kweli ni hatari pia..
 
Mkuu ukitaka kupata ukweli kuhusu hili jambo, hebu itazame TBC uone wanavyoitangaza serikali ya CCM na chama cha CCM ndipo utajua maana ya kujikomba au maagizo kutoka juu!
 
Hakuna mshindani yeyote

Azam media amepewa haki ya kurusha matangazo na sio kurusha utamaduni wa kiarabu ataharibikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…