Ohooo, kumbe hayo ndiyo mavazi aliyosema Allah wanadamu tuvae!.Mkuu vaa bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Sio mpira tu ni public interest hata mengineyo pia ili mradi lengo kuu lakuona tukio linatimia sasa km lengo linatimia shida yako ninini km sio mdini.Mimi udini siujui wenye udini ni wale wanaotaka kuingiza udini kwenye maudhui ya mpira
Mpira ni public interest haipaswi kuwa na chembembe za udini
Mpira ni biashara
Kama ni msalaba unataka kuuona funga safari mpaka Singida kautazame ukichoka rudi nyumbaniWiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
huna cha jibu utabaki kulalamika.Azam ni kama maji usipoyanywa utayaoga,kufulia au ya mvua yatakulowesha.Kazi yetu kusema na jibu litspatikana tena zuri tu
Hiyo ni agenda iliyofichika ...majibu utakuja kuyajua miaka kadhaa baadayeKitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
eti Mungu anavyopenda , hayo ni mavazi ya waarabuMkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?
Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
KwannKama hizo hoja ni za kweli, hata private company hairuhusiwi kufanya vile.
Ni haki yao pia kutobagua wateja ...wale ni private companyKama ni haki yao kufanya hivyo mbona hawabagui kwenye wateja uoni wanafanya unafiki
Sio mpira tu ni public interest hata mengineyo pia ili mradi lengo kuu lakuona tukio linatimia sasa km lengo linatimia shida yako ninini km sio mdini.
Kuna Hospital, Shule, usafiri wa umma hata huko pia kuna element za udini lkn lengo unapata shida iko wapi.
kama hospital iko chini ya Kanisa na inatoa huduma bora za afya na ndo lengo kuu jamii kupata huduma bora ya afya shida iko wapi na lengo linafika. Than utokee pakutoa useme hospital inaudini kisa manesi wanavaa mavazi ya kanisa utakuwa boya wakati huduma bora unapata.
Kama ni msalaba unataka kuuona funga safari mpaka Singida kautazame ukichoka rudi nyumbani
Kumbe hata ajira kigezo diniHao jamaa ni wapumbavu kweli
Wajinga sana wadini
Huu mchezo upo sanaa hata ajira zao zipo kidini sana
Ni suala la muda huu mchezo utaisha
huna cha jibu utabaki kulalamika.Azam ni kama maji usipoyanywa utayaoga,kufulia au ya mvua yatakulowesha.
nchi moja watu wamoja.Hii ni Tanzania
Wewe jamaa una shida kubwa Sana sijui Kama unajua..unahitaji msaada wa kisaikolojia.walonielewa watanielewaWiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
azam ni wabaguzi wa kidini kuanzia kuajiri nk.Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
kwahiyo weusi kwako ni fedheha?Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?
Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Wewe ndio umewaza hivyo mkuu, ila kama unapata ulicholipia sioni haja ya kulalamika. Unataka uone mechi au uone makanisa!?Mpira ni public interest km azam media ana mahaba na dini yake asajili km chombo cha dini aombe kibali icho la sivyo hana nafasi Tanzania