Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
WATU WABAYA MKUU Kwenda KUMTEMBELEA Gerezani au Mahakamani Hawaendi ila wanahamasisha Michango huyu Jamaa yuko busy sana ana lake jamboBaada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya fursa.
Mkumbuke wakati wa awali wa kesi yake liliibuka kundi kama hili likachangisha Watu na wakatokomea. Kuweni makini na Watu hawa na SERIKALI ifuatilie michango hii.
Acheni kutumia maumivu ya mtu kujineemesha.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app