Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
WATU WABAYA MKUU Kwenda KUMTEMBELEA Gerezani au Mahakamani Hawaendi ila wanahamasisha Michango huyu Jamaa yuko busy sana ana lake jamboBaada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya fursa.
Mkumbuke wakati wa awali wa kesi yake liliibuka kundi kama hili likachangisha Watu na wakatokomea. Kuweni makini na Watu hawa na SERIKALI ifuatilie michango hii.
Acheni kutumia maumivu ya mtu kujineemesha.
Atakua anakusanya kidogo hata hivyo, sidhani kama Kuna mtu wa kumchangia SabayaWATU WABAYA MKUU Kwenda KUMTEMBELEA Gerezani au Mahakamani Hawaendi ila wanahamasisha Michango huyu Jamaa yuko busy sana ana lake jamboView attachment 2252354
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kumbe nilikua sahihiHow does our sense of balance work?
The ear is a sensory organ that picks up sound waves, allowing us to hear. It is also essential to our sense of balance: the organ of balance (the vestibular system) is found inside the inner ear. It is made up of three semicircular canals and two otolith organs, known as the utricle and the saccule. The semicircular canals and the otolith organs are filled with fluid.
HALAFU ANATOKEA KENGE MMOJA ANAYAKATA MASIKIO..!!!
... Sabaya anaumizwa uraiani na gerezani; kote kote anapigwa! Kiburi chake kimemponza.
Wako kimyaaa wanapiga pesa kimyaaAkina.. Idugunde, nyankurungu, kituriro!!
Wanakusanya hela wanalewea huku mwenzao akifokolewa na wakora huko jelaWako kimyaaa wanapiga pesa kimyaa
Si tuliambiwa yuko huru uraiani... Sabaya anaumizwa uraiani na gerezani; kote kote anapigwa! Kiburi chake kimemponza.
Kwamba hao uliowataja ni majizi!?Aione Kiturilo na Countrywide na majizi wengine.
Kiturilo Idugunde Nyankurungu2020 Crimea jibuni hizi tuhumaWanakusanya hela wanalewea huku mwenzao akifokolewa na wakora huko jela
Hao ni frontline kuhamasisha mchango.Kwamba hao uliowataja ni majizi!?
kama kawaida ya CCM ugali tu.Baada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya fursa.
Mkumbuke wakati wa awali wa kesi yake liliibuka kundi kama hili likachangisha Watu na wakatokomea. Kuweni makini na Watu hawa na SERIKALI ifuatilie michango hii.
Acheni kutumia maumivu ya mtu kujineemesha.
Rwandes, cutbert robert, Muda wote, yehoaya, johnthe baptiet
๐ ๐Real entrepreneurs .Hao ndio wajasiliamali sasa, wameiona fursa wameitumia.Tuache kulalamika hakuna ajira.Jambazi sabaya ni fursa nzuri
Eti muombee! Naona hata Mashekhe na maaskofu wamejikalia kimya๐ ๐WATU WABAYA MKUU Kwenda KUMTEMBELEA Gerezani au Mahakamani Hawaendi ila wanahamasisha Michango huyu Jamaa yuko busy sana ana lake jamboView attachment 2252354
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kuna likiongozi la mafinyofinyo linamsubiri kwa hamu nadhani linaweza kuanza na Log inverse ya mouthBado kaburini
Kuna yule kiumbe mwingine aliyetwaliwa kuzimu alikuwa anaomba tumuombee watu tukamyuti kuzimu wakatia timu na kusepa naeEti muombee! Naona hata Mashekhe na maaskofu wamejikalia kimya๐ ๐
Bado hujajibu kama nao ni majizi au siyo majiziHao ni frontline kuhamasisha mchango.
Na kesi yake ni leo tenaUvccm wakiona chocho lazima wachochole