Wapiganaji wa Al-Qaeda walivyolipua msafara wa chakula nchini Burkina

Wapiganaji wa Al-Qaeda walivyolipua msafara wa chakula nchini Burkina

Wavaa kobazi na vipendo ndo wanachojuaga vyema hicho, kuua kwa mserereko watu wasio na hatia kwa ideologies zao fupi kama pedo
 
Mna uhakika hao ni waislamu????

Je Uislamu umeruhusu kuuwa innocent people???

Haya wale wepesi wa kuamini kiletwacho katika media mbali mbali mnaweza kujibu maswali hayo, sitaki kusikia flani amesema nanyi mkakurupuka kulaumu uislamu.

Bhujiku ng'waka!
 
Ivi najiuliza sana ,unakuaje raisi wa inchi kama iyo afu unajeshi na serikali ipo mikononi mwako na watu wako wanakufa kwa watu walioporini wanejificha na wanakuulia watu wako ,ivi unashindwa kujipanga na ukatangaza vita,ukanunua na drone ,ukaomba msaada wa vifaa na majeshi arafu ukaingia mzigoni kuwachapa ao washenzi ,yaani nashindwa kuelewa ivi ikishafahamika Kuna watu hao rabda sehemu furani si unaanzisha mashambulizi uko uko tu
 
Back
Top Bottom