Ivi najiuliza sana ,unakuaje raisi wa inchi kama iyo afu unajeshi na serikali ipo mikononi mwako na watu wako wanakufa kwa watu walioporini wanejificha na wanakuulia watu wako ,ivi unashindwa kujipanga na ukatangaza vita,ukanunua na drone ,ukaomba msaada wa vifaa na majeshi arafu ukaingia mzigoni kuwachapa ao washenzi ,yaani nashindwa kuelewa ivi ikishafahamika Kuna watu hao rabda sehemu furani si unaanzisha mashambulizi uko uko tu