Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

Kwani kwenye viongozi wa dini hakuna corruption?
Saudi Arabia, Iran, Turkey hakuna corruption?
Kuna kiongozi anapiga hela kama wale prince wa uarabuni?
Vipi ukizaliwa muislam kwenye nchi inayoongozwa kilokole au Vice versa??
Kwanini unashadadia utawala wa kidini?
 
hakun kitu kibay km kumteka mtu kisaiklojia ktk idara ya imani unawez ukamwmbia amuue mama yake na akamuoa bila wacwac wwt
 

Marekani hawezi kushindwa na wazembe kama al shabab..

Marekani amewamudu Al qaeda chini ya kamanda Osama bin Laden, marekani amewamudu makamanda wa ukweli kama kina Saddam Hussein, Ghadaffi.

Marekani Anaanzia wapi kuwashindwa magaidi wajinga wajinga al shabab..

Somalia hakuna maslahi ya marekani ndio maana kaachana napo.. somalia kungekuwa na mafuta ama rasilimali yoyote.. hao alshabab na makundi mengine wangenyooka
 
Kazi iendelee
 
Asili ya Dunia hii ni Mungu, kwahiyo Mungu alimuumba Adam na Hawa.

Adam ndio alikuwa kiongozi wa kwanza wa kidini. Kwahiyo iko hivyo, kwahiyo Dunia au Nchi kuongozwa kidini ni jambo bora sana na Changamoto za upigaji ni chache na wanaonufaika ni wengi. Kama hapo umetoa wa hao akina Prince, it means ni hao tu, na maendeleo yanaonekana huko kwakuwa wanufaika ni wengi

Ukija Demokrasia za Afrika, wapigaji ni wengi, kwa kuwa wanakuja kwenye kila awamu alafu kundi kubwa la raia wanakuwa walala hoi. Nina uhakika hata wewe utakuwa unakumbwa na kasumba hiyo labda huna ajira upo upo tu. Au una ajira ambayo haikidhi mahitaji yako.

Sijapinga Demokrasia, kwakuwa nafahamu wenzetu Marekani na Nchi za NATO kwa ujumla wako powa na Demokrasia na wanaenda nayo vizuri.

Ila AFRIKA Demokrasia hatuzewezi, hiyo ukubali au ukatae. Ndiyo hoja yangu ilipo.

Kwahiyo usishangae Al-Shabab kupinga Demokrasia. Ukiona Mgogoro Afrika katika nchi yoyote, basi jua ni SERIKALI na DEMOKRASIA za hovyo. Ndio wanatokea waasi.
 
Basi historia zinadanganya,
Katika Historia Walikwenda Marekani na UN pale, lakini walishindwa na wakaondoka. Sasa unakataa nini.

Unasingizia Somalia hakuna Mafuta ndio mana Marekani hawezi kwenda.
sasa miaka ya 80's - 90's alipeleka jeshi pale Somalia kutuliza amani ili iweje huku akijua hamna Mafuta?
Hadi jeshi lao Marekani kupata aibu na kuburutwa barabarani? Ndipo alipoamua kuondoa jeshi.

Acha mapenzi yasiyo na tija.
History never lie
 
Wewe hiki unachokiona Afrika unakiita Demokrasia???
Tusianzie mbali
Hapa Tz kuna demokrasia?
 
Wewe hiki unachokiona Afrika unakiita Demokrasia???
Tusianzie mbali
Hapa Tz kuna demokrasia?
Kijana viongozi wako si wanajinasibu na kujisifia kuwa wana Demokrasia, na wanaitangazia Dunia hivyo.

Wanadai wana Demokrasia kwenye kila Nyanja, uchaguzi unafanyika kila baada ya miaka 5 na hakuna janjajanja wala Dikteta, Kuna uhuru wa watu kuzungumza bila kupotezwa au kuwekwa Gerezani.

Na Demokrasia hiyo si ndio inaleta misaada? Sasa kama unaikataa Demokrasia kwanini unapinga utawala wa Haki wa Kidini katika nchi za Afrika like Somalia. Wasomali wanafanya hizo harakati hawajaanza leo nit toka wewe hujazaliwa mzee.
 
Hivi wewe unaishi nchi gani?
Tofautisha uwepo wa demokrasia na Uwepo wa viongozi wanaosema kuna demokrasia.
Huo uhuru wa kuongea unao wewe tu au?
Watu wanaouliwa na kuokotwa ufukweni hujasikia? Kwanini roma alikimbia nchi unayosema ina uhuru?? Huo uchaguzi unaouona kila miaka mi5 ni wa haki? Kwani yeyote akiwekwa na CCM kuna mtu asiyejua kuwa lazima apite?
 
kwenye vita pande zote lazima watu wafe..

huwezi kupigana vita askari wako asife hata mmoja..

jiulize wanajeshi wa somali wangapi walikufa kisha linganisha na idadi ya wanajeshi wa marekani waliokufa kwenye hiyo vita.

marekani hakwenda Somalia kupigana vita, bali alienda somalia kulinda amani kwenye UN mission, ni sawa na JWTZ imepeleka wanajeshi wake Congo na lebanon

somalia hawana uwezo wa kupigana vita na marekani..

marekani anapigana vita sehemu kwenye maslahi.. somalia hakuna maslahi yake ndio maana marekani alisepa zake.. hao alshababu ni hawana uwezo wa kufikia hata robo ya uwezo wa Al qaeda kwenye factor zote. mtu uwamudu magaidi makini kama al qaeda kisha uwashindwe Al Shabab si utakuwa mpuuzi
 
Tatizo kubwa nlilokuja kugundua likanifanya niache kubishana mambo ya dini humu...Ni kuwa watu wa dini wengi ni vilaza na la saba failures...Kwahyo ukibishana nao unakuwa huna tofauti nao.
Umenena vyema sana..hasa wafuasi wa mudi..ndio mana wakishindwa kujibu hoja..wanakimbialia ushoga na kuanzi kutukana matusi ya ajabu ajabu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ndio Demokrasia haipo sasa, Mbona Marekani wanasema wana Demokrasia na ipo kweli?

Afrika ni utawala wa Kidini ndio Njema
 
Kwahiyo Marekani anafaa kuubeba huu Msalaba na Dhambi ya watu kufa pale Somalia. Dhambi hii ni ya Wasomali na Marekani

Marekani ndio Superpower A.K.A Kiranja wa Dunia, alitakiwa atumie usuperpower wake kuhakikisha Dunia inakuwa na amani.

Marekani plus UN walienda kutuliza amani Somalia wakashindwa unasema aliondoka kida hakuna maslahi.

Sasa huyo ni Superpower gani tangu miaka ile kashindwa kutuliza Amani kwenye nchi kama Somalia? Basi huyo Marekani ni Superpower MANDONGA na anastahili hiyo dhambi inayofanyika pale SOMALIA kwa kwenda kutuliza ghasia kwa kubeep na kutoweka.
 
Ndio Demokrasia haipo sasa, Mbona Marekani wanasema wana Demokrasia na ipo kweli?

Afrika ni utawala wa Kidini ndio Njema
Hakuna nchi takayoweza kujiendesha kwa kidemokrasia 100%. Lazima tu kuna maamuzi madogo/ makubwa yatafanywa na mtu binafsi aliye na madaraka kutokana na natural human freedom ya watu kwenye power, (Kazi ya demokrasia sio kuondoa maamuzi ya wachache, bali kuyapunguza)..Na pia hakuwezi kuwa na nchi ambayo ni 100% totalitarian (dictatorship state iwe kwa form yoyote.. kikabila/kidini/kiaidiolojia), Lazima tu kuna maamuzi ambayo binadamu watajiamulia.Yani hakuwezi tokea diktator atakayeamulia watu kila kitu,( kula, kunywa, kuvaa, kuongea, kunya...nk)Lazima kuna maamuzi ambayo watawaliwa watajiamulia wenyewe (Human freedom).

Kwahyo, Lengo sio kuwa 100℅ democratic...Lengo ni kuwa Less authoritarian as possible.

Nakuacha na msemo "Marekani sio 100% Democratic....Lakini nakuapia Kule ukandamizwaji wa raia mdogo kuliko huku"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…