Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Kwani kwenye viongozi wa dini hakuna corruption?Walishindwa Marekani pale Somalia.
Alafu Al-Shabab wanaitaka ile nchi waiongoze Kidini(Kiislamu).
Haya Mambo ya Demokrasia haya ni uchwara especially Nchi za Kiafrika. Eti uchaguzi unafanyika kila baada ya Miaka 5 au 4, kila kiongozi anayeingia Madarakani anapiga pesa zake anatembea na Maendeleo yanakuwa hamna, utamaduni wa nchi unapotea sababu ya Demokrasia. Unakuta uhuru wa kusema, ukisema ukweli tu unapotezwa.
Kama kuna nchi inataka ijiongoze kidini either kikristo au kiislamu iachwe.
Leo hii ITALY, ROMA imepoteza dola yake(ROMAN EMPIRE), Sababu Demokrasia.
Saudi Arabia, Iran, Turkey hakuna corruption?
Kuna kiongozi anapiga hela kama wale prince wa uarabuni?
Vipi ukizaliwa muislam kwenye nchi inayoongozwa kilokole au Vice versa??
Kwanini unashadadia utawala wa kidini?