son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Wababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen", Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine.
Aidha Afisa wa marekani nchini Yemen bwana Tim lenderking amesema
Mazungumzo ya kina yamefanyika kati ya maafisa wa urusi na Houthi huku ikiaminika urusi itawapa silaha za kisasa zaidi zitakazowezesha wanamgambo wa Houthi kupiga target zao kwa ufanisi Ukanda wa redsea
Inaaminika mwezi uliopita Urusi iliwapatia taarifa ya satellite Houthi kwenye mashambulizi ya Meli Ukanda wa bahari nyekundu.