Hiyo ni nzuri, awape mafunzo, mazoezi na uzoefu wakutumia silaha za kisasa katika vita halisi ili wakambane vizuri na USA huko baharini. Pia urusi anajua hii vita inaweza pelekea makabiliano ya Moja kwa Moja na NATO hivyo ni muhimu kuwaweka tayari washirika wake.