5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Ni propaganda ya russia tu kwamba ameshakamilisha kuchukua hayo majimbo, sasa kama sio partially ukraine wanapigana na russia wakiwa eneo gani? jiongeze mkuu.Hayo maeneo yamechukuliwa totally sio partially.
Ngojea nikuletee ripoti ndio utaelewa.
Russia hakulilia kuachiwa hayo majimbo bali alipodokezwa kuhusu mazungumzo ya amani alitoa masharti matatu;
1)Maeneo aliyoyachukua yatambulike kuwa ni ya Urusi.
2)Urkraine iondoe askari wake Kursk.
3)Ukraine iache mashambulizi katika majimbo aliyobeba .
Akasisitiza KAMA HAYA MASHARTI MATATU HAYAJATIMIZWA MAKUBALIANO YA AMANI HAKUNA.
Je huko ndio kulia lia!??
Vita kuendelea ni lazima kwasababu Ukraine inasisitiza kurudisha maeneo yake huku Russia ikizidi kusonga mbele.
Unategemea vita isiendelee ilhali Russia bado yupo katika ardhi ya Ukraine!?
Mkuu unafikiria kwa kutumia kiungo gani!??
Kurks mkuu tena, watu wanaitaka Moscow tena, mpaka jamaa kakodi askari kutoka North Korea
Kumbuka russia ndio wanaotaka mazungumzo kusitisha vita mana operation walikusudia wiki 2 tu ukitoa zile saa 72 za mwanzo, sasa wanapigana kwa hasara russia