Wapiganaji wa Houthi waenda Urusi kuisambaratisha Ukraine

Ndio. Putin hakutegemea iwe hivyo kwa sababu kimahesabu na kimkakati humo kichwani mwake ni sifuri. Hakumsoma vizuri Ukraine- alimwandaestimeti na Hakuzisoma alama za nyakati.
Hili mkuu lipo takriban katika Kila vita,hata USA alipoenda Somalia kumuangamiza Farah Aidid alidhani mission ingekua successful ndani ya muda mfupi kuliko hata Operation Cabanatuan,mwisho wa siku USA ndani ya Somalia ilipoteza askari wengi kiasi hati walishindwa kuwabeba na Kurudi nao.
Tena walikimbia na kuacha mission.
Huwezi ukasema vita uipigie mahesabu kamili huo ni uongo,hata Kwa Israel hivi alitegemea kama vita ingeenda mwaka mzima dhidi ya Hamas!?
Vita ni ngumu kui predict mkuu.
Sikubaliani kwamba USA ni baba wa uongo na mnafiki mkuu. Naomba ushahidi- Thibitisha wau hata kwa mifano michache.
*USA anahubiri demokrasia na sovereignty hapo hapo yeye ndio mfadhili wa mapinduzi mataifa mbali mbali ikiwemo Egypt,Libya,Iraq,Venezuela,Cuba nk.
Huyo huyo anayedai kulinda sovereignty za nchi ndiye anayewalazimisha muukubali ushoga na kusagana kilazima na mkienda tofauti basi anawawekea vikwazo vya misaada.
*USA anajinasibu kupambana na ugaidi ilhali yeye ndio mfadhili wa makundi ya kigaidi na ameshawahi kuyatumia mathalan Taliban,ISIS,Alqaeda,Kurdish PKK,alikua anafanya majaribio ya silaha za biochemical Kwa watu wa Marshall islands Kwa kuwadanganya na few dollars akawaharibia maji na ardhi.
*USA amekua akihubiri amani ila yeye ndiye anayefadhili uchimbwaji wa blood minerals DR Congo na baadhi ya nchi za West Africa Kwa kuwapa vikundi vyenye silaha uwezo wa kufanya fujo na yeye akipora madini.

Hizi zinakutosha mkuu tena sana.
 
Hili mkuu lipo takriban katika Kila vita,hata USA alipoenda Somalia kumuangamiza Farah Aidid alidhani mission ingekua successful ndani ya muda mfupi kuliko hata Operation Cabanatuan,mwisho wa siku USA ndani ya Somalia ilipoteza askari wengi kiasi hati walishindwa kuwabeba na Kurudi nao.
Tena walikimbia na kuacha mission.
Huwezi ukasema vita uipigie mahesabu kamili huo ni uongo,hata Kwa Israel hivi alitegemea kama vita ingeenda mwaka mzima dhidi ya Hamas!?
Vita ni ngumu kui predict mkuu.
Kweli vita haitabiriki lakini nchi au Taifa linapoamua kuingia vitani kama njia ya kuisaka Haki, ni muhimu pia kujiridhisha kwamba walau una uwezo kumzidi adui yako.
 
Google ni search engine.
BBC ndio walioirusha hiyo habari ndani ya google ili sisi tuipate hiyo habari.
Aisee bro umeishia kidato Cha ngapi!?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hujui hata habari zinarushwa vipi na mitandao ina operate vipi!?
Sawa habari umeipata google,aliyeandika habari na kuirusha humo ni nani !??
Ukweli ni huu-- Ukweli wa google search ni 0.5%, wewe ukisikia google unaona ni kama msahafu, google ni search engine ambayo hata wewe unaweza kuweka na kupotosha fact zozote utakazo tena kwa kiwango chochote utakacho na mtu akaweza ku-browse akaona suala lake limepata jibu. hiyo tayari imeshakuwa approved.

Unapokuja uhalisia kutafuta ushahidi duniani kote watu hawaendi kwenye google kutafuta ukweli wanaenda direct kwenye chombo kilichothibitisha, wala mtu huwezi kumfunga mahakamani eti ushahidi nimeupata kwenye google search utaonekana mjinga uliyepita viwango vya ujinga.

Hiyo bbc usemayo ume search kwenye google ama blogs ni majibu ambayo kwa makusudi watu hupenyeza taarifa zao kwa interest zao ili wewe uone ni fact madam neno bbc umelikuta.

Na hata ukienda kwenye page halisi za website ya bbc chini kule huwa wanaandika kwamba "BBC haina dhamana yoyote ya chapisho lile"

Na hapa jamiiforums hujafuatilia vizuri hakuna mtu analeta ushahidi wa google search watu wanaripoti direct kwenye chombo halisi.

Nimeona nikupeleke shule kidogo na hiyo Tecno yako unavyoona unaweza ku-google chochote na kuwaambia watu huu ni ukweli. Namaliza na kufunga mjadala hapa.
 
Duh! Mkuu mbona kama una uelewa mdogo kuhusu google search engine,

Google inakurahishia utafutaji kwa kukuletea taarifa kutoka vyanzo (source) tofauti tofauti ambavyo vinaweza vikawa rasmi au sio rasmi.

Mkuu unavyozidi kuongea unazidi kuonesha kuwa wewe una ujinga mwingi kichwani.
Hii article aliyeandika ni BBC CORRESPONDENT na jina lake limewekwa kwenye hiyo article.
Hii inamaanisha kuwa ni verified news from BBC correspondents.
Pia vyombo vikubwa vya habari havirushi habari kidananda kiasi ziwe breached kama inavyodhani.
Hata protokali za kurusha habari na uhakiki wa habari hujui.

Pia situmii Tecno bali Oppo.
Huna unalojua unazidi kudhihirisha ujinga wako kichwani.

AISEE SINA HAJA YA KUENDELEA KUBISHANA NA WEWE ficha ujinga wako.
Uwe na siku njema.
 
Kweli vita haitabiriki lakini nchi au Taifa linapoamua kuingia vitani kama njia ya kuisaka Haki, ni muhimu pia kujiridhisha kwamba walau una uwezo kumzidi adui yako.
Uwezo ni jambo lingine na muda wa kuanza na kumaliza vita ni jambo lingine mkuu.
 
Ukweli ni huu-- Ukweli wa google search ni 0.5%, wewe ukisikia google unaona ni kama msahafu, google ni search engine ambayo hata wewe unaweza kuweka na kupotosha fact zozote utakazo tena kwa kiwango chochote utakacho na mtu akaweza ku-browse akaona suala lake limepata jibu. hiyo tayari imeshakuwa approved.

Unapokuja uhalisia kutafuta ushahidi duniani kote watu hawaendi kwenye google kutafuta ukweli wanaenda direct kwenye chombo kilichothibitisha, wala mtu huwezi kumfunga mahakamani eti ushahidi nimeupata kwenye google search utaonekana mjinga uliyepita viwango vya ujinga.

Hiyo bbc usemayo ume search kwenye google ama blogs ni majibu ambayo kwa makusudi watu hupenyeza taarifa zao kwa interest zao ili wewe uone ni fact madam neno bbc umelikuta.

Na hata ukienda kwenye page halisi za website ya bbc chini kule huwa wanaandika kwamba "BBC haina dhamana yoyote ya chapisho lile"

Na hapa jamiiforums hujafuatilia vizuri hakuna mtu analeta ushahidi wa google search watu wanaripoti direct kwenye chombo halisi.

Nimeona nikupeleke shule kidogo na hiyo Tecno yako unavyoona unaweza ku-google chochote na kuwaambia watu huu ni ukweli. Namaliza na kufunga mjadala hapa.
Nimeelewa kwanini Kosugi ameachana na wewe.

Kuna search engine tofauti tofauti kama vile google, yahoo, baidu, bing, yandex nk. Isipokuwa google ndio search engine maarufu zaidi duniani.

Narudia tena kukwambia google au search engine yeyote kazi yake ni kukurahisishia kupata taarifa kutoka kwenye websites mbalimbali unachotakiwa kuangalia wewe ni source ipi ni sahihi na ya kuaminika

Kwa hiyo kaa ukijua hakuna mtu anayeweka taarifa kwenye google wala kupotosha na ndio maana hakuna mtu aliyewahi kuishitaki search engine yoyote kwa kumpotosha.

Kwenye iyo picha kupitia google unaona website ya kwanza ni al jazeera.com na ya pili ni bbc.com na hizo zote ni official lakini ukiendelea kushuka chini hapo utakutana na page nyingine ambazo zitakuwa rasmi na nyingine sio rasmi (takataka).View attachment 3164293
View attachment 3164298
 
Nimeelewa kwanini Kosugi ameachana na wewe.

Kuna search engine tofauti tofauti kama vile google, yahoo, baidu, bing, yandex nk. Isipokuwa google ndio search engine maarufu zaidi duniani.

Narudia tena kukwambia google au search engine yeyote kazi yake ni kukurahisishia kupata taarifa kutoka kwenye websites mbalimbali unachotakiwa kuangalia wewe ni source ipi ni sahihi na ya kuaminika

Kwa hiyo kaa ukijua hakuna mtu anayeweka taarifa kwenye google wala kupotosha na ndio maana hakuna mtu aliyewahi kuishitaki search engine yoyote kwa kumpotosha.
narudia sijakataa google kuwa ndio search engine maarufu na kwamba inarahisisha ukiingia tu na kuuliza unapata majibu, nimekataa contents za majibu yanayoletwa na google ukweli wake ni 0.5%.
 
Mkuu unavyozidi kuongea unazidi kuonesha kuwa wewe una ujinga mwingi kichwani.
Hii article aliyeandika ni BBC CORRESPONDENT na jina lake limewekwa kwenye hiyo article.
Hii inamaanisha kuwa ni verified news from BBC correspondents.
Pia vyombo vikubwa vya habari havirushi habari kidananda kiasi ziwe breached kama inavyodhani.
Hata protokali za kurusha habari na uhakiki wa habari hujui.

Pia situmii Tecno bali Oppo.
Huna unalojua unazidi kudhihirisha ujinga wako kichwani.

AISEE SINA HAJA YA KUENDELEA KUBISHANA NA WEWE ficha ujinga wako.
Uwe na siku njema.
Ukishajua tafsiri ya google search utaniomba radhi wewe ndo unatumia Oppo sikulaumu
 
narudia sijakataa google kuwa ndio search engine maarufu na kwamba inarahisisha ukiingia tu na kuuliza unapata majibu, nimekataa contents za majibu yanayoletwa na google ukweli wake ni 0.5%.
🤐🤐🤐🤐
 
Hivi mkuu huoni aibu, unavozidi kukaza fuvu ndio unazidi kujivua nguo.

Hivi ukigoogle kitu na google wakakuletea websites kadhaa wewe ukachagua website moja wapo, hapo waliokudanganya watakua ni google au website uliyochagua?

Nenda kajifunze upya nini maana ya search engine
 
Wewe unajaribu kuongelea website na matumizi ya google, mimi nakataa contents za majibu ya google sio kweli 100%
 
Kitu nnachojiuliza, Urusi inaidadi kubwa ya watu ukilinganisha na Ukraine. Hivi ni kweli inatupasa tuamini ukraine imefanikiwa kuwamaliza askari wa urusi mpaka urusi iombe msaa kwa mataifa mengine?? Wakati huohuo hatujasikia Ukraine ikiomba msaada wa askari kutoka mataifa mengine. Je, ni kweli wapo vizuri kuliko Urusi??
Hata mimi siamini kabisa inawezekana Kuna propaganda hapo
 
Kama Putin ata kataa makubaliano ya Aman, ndani ya miezi 6 ijayo atakuwa kwenye wakati Mgumu Sana.

Kitendo Cha kuomba askari Korea na Kuokoteza Askari kwenye vikundi mabalimbali inaonekana Kuna shida kubwa ni swala la Muda tu Kila kitu kitakua wazi kwa Kila mtu.

Putin yupo matatizoni.
Kwenye vita pande zote zina vifo, ukijaribu kuangalia matokeo ya vita hadi sasa Urusi amegain zaidi ya Ukraine, je anawezaje kugain wakati yeye ndio mwenye vifo vingi hii inamaanisha hakuna ukweli hapo

Pia ukiangalia demend ya majeshi ya Urusi duniani yanaongezeka middle east, africa, Asia na kwa vita vyake mwenyewe

so kivyovyote lazima ahitaji man power kubwa na hiyo man power atakayoipata lazima aipeleke kwake because huwezi chukua wahouth au N.korea akawapeleka buki na faso while wanacontract na wanaohitajika pale ni warusi
 
Hata mimi siamini kabisa inawezekana Kuna propaganda hapo
Mkuu demend ya majeshi ya Urusi ni kubwa sio tu kwenye nchi yao bali pia nchi alizongia nazo contract in Asia, middle east na africa
So mrusi anahitaji kumaintain military personel yake inayopungua kutokana na vita kwenye front line zote ambazo yuko

Ukrain yeye hana demand yeyote nje na ukrain
 
The Deep State is real...
...Ukraine is the center of money laundering....
...Zelenskyy is a puppet.
 
WWa
Kama Putin ata kataa makubaliano ya Aman, ndani ya miezi 6 ijayo atakuwa kwenye wakati Mgumu Sana.

Kitendo Cha kuomba askari Korea na Kuokoteza Askari kwenye vikundi mabalimbali inaonekana Kuna shida kubwa ni swala la Muda tu Kila kitu kitakua wazi kwa Kila mtu.

Putin yupo matatizoni.
Wachambuzi wa Bongo bwana!, sijui wanaokotea wapi habari zao yani? 😂
 
Houthi wameshindwa kwenda Gaza na Lebanon kwa Waislam wenzao then wakubali kwenda kwa kafir Putin enb
 
Back
Top Bottom