Wapiganaji wa Houthi waenda Urusi kuisambaratisha Ukraine

Wapiganaji wa Houthi waenda Urusi kuisambaratisha Ukraine

Angelikuwa ni muungwana; mbona mishemishe za maandalizi kwa hilo ameshaanza e.g. ujenzi wa Shetlers, Vikosi vya nuclear vimesha wekwa standby mode? Huyo jamaa haaminiki.
Kwanini asivieke stand by kuna ubaya gani yaani put in ambae hajawahi kutumia nyuklia haaminiki ila ukute unaiamini marekani
 
Kwanini asivieke stand by kuna ubaya gani yaani put in ambae hajawahi kutumia nyuklia haaminiki ila ukute unaiamini marekani
Kuweka vikosi hivyo katika kiwango cha juu standby nii ishara kuna kitu kinaweza kwenda kufanyika esp.ukizingatia hali tete baina yake na Ukraine inavyosaidiwa na Westerners & USA.
Ni kweli naiamini Marekeni kwani Kauli zake ni Halisi akiahidi au akisema anatekeleza. Ila sio Putin. Putin tangu atudanganye eti hiyo ni SMO ya 72hrs lakini sasa ni mwaka umeenda-simwamini tena.
 
Safari hii hao Wahouthi watavikimbia Vikoi vyao wasicheze na Baridi ya Russia 😁😂
 
Kuweka vikosi hivyo katika kiwango cha juu standby nii ishara kuna kitu kinaweza kwenda kufanyika esp.ukizingatia hali tete baina yake na Ukraine inavyosaidiwa na Westerners & USA.
Ni kweli naiamini Marekeni kwani Kauli zake ni Halisi akiahidi au akisema anatekeleza. Ila sio Putin. Putin tangu atudanganye eti hiyo ni SMO ya 72hrs lakini sasa ni mwaka umeenda-simwamini tena.
Ukileta ushahidi wa put in kusema kama smo itachukua 72 hrs nitajua kweli umeanza kujitambua
 
Kuweka vikosi hivyo katika kiwango cha juu standby nii ishara kuna kitu kinaweza kwenda kufanyika esp.ukizingatia hali tete baina yake na Ukraine inavyosaidiwa na Westerners & USA.
Ni kweli naiamini Marekeni kwani Kauli zake ni Halisi akiahidi au akisema anatekeleza. Ila sio Putin. Putin tangu atudanganye eti hiyo ni SMO ya 72hrs lakini sasa ni mwaka umeenda-simwamini tena.
*USA anatudanganya anahubiri demokrasia mbona amefadhili mapinduzi mataifa mengi?
*USA alitudanganya kuhusu haki za binadamu mbona amekua akiwafanyia majaribio ya silaha watu wa Marshall Islands!?
*USA alitudanganya Kuna silaha zenye sumu Iraq na akavamia Iraq.
Ukweli gani huo USA alio nao mkuu!?
Putin hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivyo hauwezi kumlaumu.
 
Kwa hiyo teseme wote ni waongo/wababaishaji?
 
Kweli urusi kachoka hana wanajeshi kitendo cha kuokoteza askari kwenye vikundi vya kigaidi juzi tu sikapewa askari na korea kaskazini, leo tena houth kesho utasikia hezbollah na hamas wataenda kupigana na ukraine
Aje achukue na majambazi ya Green guard ya Ccm, huenda yakamsaidie kwenye utekaji.
 
Kama ni kweli basi inaonekana jeshi la Urusi limepungua sana wanajeshi wake
Ninyi ni wajinga sana hata akili ya kuvukia barabara imewashinda. Huo ni ushirikiano miongoni mwa marafiki katika kumkabili adui.
 
*USA anatudanganya anahubiri demokrasia mbona amefadhili mapinduzi mataifa mengi?
*USA alitudanganya kuhusu haki za binadamu mbona amekua akiwafanyia majaribio ya silaha watu wa Marshall Islands!?
*USA alitudanganya Kuna silaha zenye sumu Iraq na akavamia Iraq.
Ukweli gani huo USA alio nao mkuu!?
Putin hakutegemea kama vita ingechukua muda mrefu hivyo hauwezi kumlaumu.
Political tell u how Truth looks like , but always they lie
 
Huyo Putin si wampe tu hayo majimbo ya Crimea sijui na wapi yaishe?

Kwani anataka nini sasa, anafurahia watu wanauawa yeye amekaa Cremlin anakula kuku tu.

NATO nao wakipeleka wanajeshi si inakuwa vita ya dunia, kwa faida ya nani?

Trump aingie whitehouse amuulize anachotaka Ukraine wampe, wananchi waanze kuishi maisha ya kawaida.
Nato ndio walikuwa wa kwanza kupeleka wanajeshi na vifaa Ukraine..otherwise Ukraine ingesahaulika sasa hivi.
 
Ukraine ni underdog ana unga unga sasa super pawa inakuwaje tena?.
Vita nikikutajia vita vya Kagera.
Kwahiyo Israel anavyosaidia na UK na US ana unga unga? Vita zote duniani hata ya Tanzania vs Uganda hatukuwa wenyewe na Amin hakuwa mwenyewe. Tanzania tulikua na askari hadi kutokea Rwanda na Congo mashariki waliotusaidia kupambana na Amin.

Nitajie tu Vita moja ambayo ilipiganwa One versus one.
 
Putin hatutegemea kama vita ingechukua muda mrefu namna hii.
Ila USA ni baba wa uongo na unafiki mkuu.
Ndio. Putin hakutegemea iwe hivyo kwa sababu kimahesabu na kimkakati humo kichwani mwake ni sifuri. Hakumsoma vizuri Ukraine- alimwandaestimeti na Hakuzisoma alama za nyakati.
Sikubaliani kwamba USA ni baba wa uongo na mnafiki mkuu. Naomba ushahidi- Thibitisha wau hata kwa mifano michache.
 
Embu soma hapo juu pameandikwaje kama sio bbc.com.View attachment 3162168

nimekwambia tuishie pale hapa jf hatufanyii kazi google search
google.jpg
 
nimekwambia tuishie pale hapa jf hatufanyii kazi google search
View attachment 3163339
Google ni search engine.
BBC ndio walioirusha hiyo habari ndani ya google ili sisi tuipate hiyo habari.
Aisee bro umeishia kidato Cha ngapi!?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hujui hata habari zinarushwa vipi na mitandao ina operate vipi!?
Sawa habari umeipata google,aliyeandika habari na kuirusha humo ni nani !??
 
Duh! Mkuu mbona kama una uelewa mdogo kuhusu google search engine,

Google inakurahishia utafutaji kwa kukuletea taarifa kutoka vyanzo (source) tofauti tofauti ambavyo vinaweza vikawa rasmi au sio rasmi.
Mkuu achana naye ameamua kuwa mbishi.
Ila bora hata wewe umeona😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom