son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Asante geniusSamahani lakini, mtoa post wewe ni mbumbumbu huna akili
Wababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen",Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine.
Aidha Afisa wa marekani nchini Yemen bwana Tim lenderking amesema
Mazungumzo ya kina yamefanyika kati ya maafisa wa urusi na Houthi huku ikiaminika urusi itawapa silaha za kisasa zaidi zitakazowezesha wanamgambo wa Houthi kupiga target zao kwa ufanisi Ukanda wa redsea
Inaaminika mwezi uliopita Urusi iliwapatia taarifa ya satellite Houthi kwenye mashambulizi ya Meli Ukanda wa bahari nyekundu.
Kitu nnachojiuliza, Urusi inaidadi kubwa ya watu ukilinganisha na Ukraine. Hivi ni kweli inatupasa tuamini ukraine imefanikiwa kuwamaliza askari wa urusi mpaka urusi iombe msaa kwa mataifa mengine?? Wakati huohuo hatujasikia Ukraine ikiomba msaada wa askari kutoka mataifa mengine. Je, ni kweli wapo vizuri kuliko Urusi??Kama Putin ata kataa makubaliano ya Aman, ndani ya miezi 6 ijayo atakuwa kwenye wakati Mgumu Sana.
Kitendo Cha kuomba askari Korea na Kuokoteza Askari kwenye vikundi mabalimbali inaonekana Kuna shida kubwa ni swala la Muda tu Kila kitu kitakua wazi kwa Kila mtu.
Putin yupo matatizoni.
Vita inaanza mwanzo kabisa wanajeshi wa urusi hawakuwa frontline..kikundi cha kukodiwa cha wagner ndio walikuwa staring wa mbele...hawajaanza sasa toka mwanzo urusi inakodi ma-servicemenKitu nnachojiuliza, Urusi inaidadi kubwa ya watu ukilinganisha na Ukraine. Hivi ni kweli inatupasa tuamini ukraine imefanikiwa kuwamaliza askari wa urusi mpaka urusi iombe msaa kwa mataifa mengine?? Wakati huohuo hatujasikia Ukraine ikiomba msaada wa askari kutoka mataifa mengine. Je, ni kweli wapo vizuri kuliko Urusi??
Kweli urusi kachoka hana wanajeshi kitendo cha kuokoteza askari kwenye vikundi vya kigaidi juzi tu sikapewa askari na korea kaskazini, leo tena houth kesho utasikia hezbollah na hamas wataenda kupigana na ukraineWababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen",Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine.
Aidha Afisa wa marekani nchini Yemen bwana Tim lenderking amesema
Mazungumzo ya kina yamefanyika kati ya maafisa wa urusi na Houthi huku ikiaminika urusi itawapa silaha za kisasa zaidi zitakazowezesha wanamgambo wa Houthi kupiga target zao kwa ufanisi Ukanda wa redsea
Inaaminika mwezi uliopita Urusi iliwapatia taarifa ya satellite Houthi kwenye mashambulizi ya Meli Ukanda wa bahari nyekundu.
Sasa urusi alikuwa anasema hii sio vita ni operation maalumu sasa ya aina gani mpaka unaishiwa na wanajeshi unaenda na korea kaskazini kuomba wanajeshi, houthWababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen",Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine.
Aidha Afisa wa marekani nchini Yemen bwana Tim lenderking amesema
Mazungumzo ya kina yamefanyika kati ya maafisa wa urusi na Houthi huku ikiaminika urusi itawapa silaha za kisasa zaidi zitakazowezesha wanamgambo wa Houthi kupiga target zao kwa ufanisi Ukanda wa redsea
Inaaminika mwezi uliopita Urusi iliwapatia taarifa ya satellite Houthi kwenye mashambulizi ya Meli Ukanda wa bahari nyekundu.
Vita unatanguliza mgambo kwanza kama sisi vita na Uganda peleka kwanza mgambo halafu wanaume wanakuja kusafisha tu njia. USA pia vita vya Iraq walikodisha private security sio kwamba hawana jeshi ila inapunguza athari za wanajeshi wao kwa maana wakipata shida kunakuwa na pressure za kisiasa ila hawa private hawatambuliki kwa watu.Ni swala la muda kabla Iran hawajaingia mzigoni.
Hii yaonesha kuwa huenda asemacho Ukraine kuwa wanajeshi wengi wa Urusi wameuawa ikawa kweli
Kwa hiyo hao maservicesmen ni kutoka Burundi na sudani na sio warusi???..............hapo ndio ujue kuwa wanaume wa urusi hawataki vita .......pamoja na kupunguzwa sana na Zelensky lakini waliobaki wanagoma kwenda jeshini lwa lazima wanaogopa kifo.............Vita inaanza mwanzo kabisa wanajeshi wa urusi hawakuwa frontline..kikundi cha kukodiwa cha wagner ndio walikuwa staring wa mbele...hawajaanza sasa toka mwanzo urusi inakodi ma-servicemen
Mkuu russia alianza na jeshi lake mwenyewe binafsi akashindwa, akapeleka vijana wake umri wa 18-60 akashindwa, wafungwa wake akashindwa, lile kundi, Wagner group akashindwa, sasa ni north Korea na sasa unataja tena hao Houth na sasa Ukraine wanapambana na jeshi lao lile ile mwaka wa 3 sasa, putin amefeli sana mission yake mkuu na huko anakoelekea ni kubaya zaidi NATO wakiingiaWababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen",Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine.