kuna kitu hukielewi mkuu,Ni swala la muda kabla Iran hawajaingia mzigoni.
Hii yaonesha kuwa huenda asemacho Ukraine kuwa wanajeshi wengi wa Urusi wameuawa ikawa kweli
toka mwanzo Urusi hajaingiza jeshi lake vitani ,mwanzo kabisa walikua ni wagner na waasi toka donbas, watu wengi hawajui kama donbas kulikua na vita tokea 2014 kati ya waasi na jeshi la ukraine,Kitu nnachojiuliza, Urusi inaidadi kubwa ya watu ukilinganisha na Ukraine. Hivi ni kweli inatupasa tuamini ukraine imefanikiwa kuwamaliza askari wa urusi mpaka urusi iombe msaa kwa mataifa mengine?? Wakati huohuo hatujasikia Ukraine ikiomba msaada wa askari kutoka mataifa mengine. Je, ni kweli wapo vizuri kuliko Urusi??
umemsikia Raisi wa korea ya kusini alichosema kuhusu hao wajeda wa kiduku?Urusi kaishiwa Hadi kuomba msaada wa houthi. Naona wanajeshi wa Korea wanaangalia porn tu.
ni alliance zinatengenezwa kuelekea 2027,Al shabaab nao wataenda urusi kupigana huko
Acheni kuleta maneno siyo.Ni swala la muda kabla Iran hawajaingia mzigoni.
Hii yaonesha kuwa huenda asemacho Ukraine kuwa wanajeshi wengi wa Urusi wameuawa ikawa kweli
Russia ameshindwa wapi!?Mkuu russia alianza na jeshi lake mwenyewe binafsi akashindwa, akapeleka vijana wake umri wa 18-60 akashindwa, wafungwa wake akashindwa, lile kundi, Wagner group akashindwa, sasa ni north Korea na sasa unataja tena hao Houth na sasa Ukraine wanapambana na jeshi lao lile ile mwaka wa 3 sasa, putin amefeli sana mission yake mkuu na huko anakoelekea ni kubaya zaidi NATO wakiingia
Nae si awapeleke ukraineumemsikia Raisi wa korea ya kusini alichosema kuhusu hao wajeda wa kiduku?
DPRK amepeleka wanajeshi Ukraine kupata uzoefu wa kivita, real battle, na hiki ndio kimemkera raisi wa SK, anaona wanajeshi wa Kim watakua tayari na uzoefu wa vita wakati wa kwake hawana.....
Kule Ukraine wanajeshi wengi wa NATO wamepelekwa kuwahi bikra 150 za uzima wa milele, nasikia zinamoto sana sababu zipo motoni milele🤣Ni swala la muda kabla Iran hawajaingia mzigoni.
Hii yaonesha kuwa huenda asemacho Ukraine kuwa wanajeshi wengi wa Urusi wameuawa ikawa kweli
Ila Houthi ndio jeshi la Yemen sio kikundi ni jeshi kamili lile.ni alliance zinatengenezwa kuelekea 2027,
kama west wanavompa silaha ukraine, ndivyo mrusi nae anatengeneza vikundi atakavyovipa silaha ili kupiga miradi ya kijeshi ya west!
kambi za kijeshi za US zilizozagaa duniani zitaanza kupigwa muda sio mrefu
Alshabaab wamekaa vibaya hakuna uwezekano wakaitwa.Al shabaab nao wataenda urusi kupigana huko
Huyo Putin si wampe tu hayo majimbo ya Crimea sijui na wapi yaishe?ni alliance zinatengenezwa kuelekea 2027,
kama west wanavompa silaha ukraine, ndivyo mrusi nae anatengeneza vikundi atakavyovipa silaha ili kupiga miradi ya kijeshi ya west!
kambi za kijeshi za US zilizozagaa duniani zitaanza kupigwa muda sio mrefu
Haya majimbo uliyotaja ni partially russia amechukua sio ardhi yote, ni baadhi ya maeneo ambayo vita inaendelea na kama russia amechukua hayo kwanini sasa kuna vita vinaendelea mwaka 3? putin alitangaza hivi karibuni kwamba anataka asimamishe lakini Ukraine imuachie hayo majimbo., Ukraine wanahakikisha wanarejesha hadi cremea, vita bado mkuu ni mbichi na sasa ubaya zaidi Ukraine mpaka wamechukua Kurks eneo la russiaRussia ameshindwa wapi!?
Luhansk,Donetsk,Mariupol,Kharkiv haya maeneo yapo chini ya nani!?
Unasema Russia kashindwa ilhali amemega 20% ya ardhi ya Ukraine!?
Hayo maeneo yamechukuliwa totally sio partially.Haya majimbo uliyotaja ni partially russia amechukua sio ardhi yote, ni baadhi ya maeneo ambayo vita inaendelea na kama russia amechukua hayo kwanini sasa kuna vita vinaendelea mwaka 3? putin alitangaza hivi karibuni kwamba anataka asimamishe lakini Ukraine imuachie hayo majimbo., Ukraine wanahakikisha wanarejesha hadi cremea, vita bado mkuu ni mbichi na sasa ubaya zaidi Ukraine mpaka wamechukua Kurks eneo la russia
Aisee!Ni swala la muda kabla Iran hawajaingia mzigoni.
Hii yaonesha kuwa huenda asemacho Ukraine kuwa wanajeshi wengi wa Urusi wameuawa ikawa kweli
Umeongea pointi kubwa sana hii,na wengi pro NATO hawaelewi hisabu hiyo.Russia anafahamu kuwa NATO na USA wanamlia timing tu hivyo hapendi kutimia wanajeshi wake wengi akisubiri NATO waingie mzigoni. Hii vita inahitaji mahesabu sana, NATO pia anatumia wanajeshi wake kama mercenaries ili wapate experience ya vita
Supapawa anaaibika maskini na mwaka huu kabla haujaisha lazima atupe taulo.Wababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen",Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi vya Ukraine.
Aidha Afisa wa marekani nchini Yemen bwana Tim lenderking amesema
Mazungumzo ya kina yamefanyika kati ya maafisa wa urusi na Houthi huku ikiaminika urusi itawapa silaha za kisasa zaidi zitakazowezesha wanamgambo wa Houthi kupiga target zao kwa ufanisi Ukanda wa redsea
Inaaminika mwezi uliopita Urusi iliwapatia taarifa ya satellite Houthi kwenye mashambulizi ya Meli Ukanda wa bahari nyekundu.