Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mchapafito,Ulitaka tuwakumbukaje mkuu?
Mchapafito,
Ningefurahi sana kama tungewakumbuka kwa kuipa mitaa majina yao
kama vile Mtaa wa Tandamuti ulivyobadilishwa na kuitwa Mtaa wa
Mshume Kiyat
Huu ni mfano mmoja.
Jengo la CCM ambalo ndipo yalipokuwa makao Makuu ya African
Association na ndipo palipokuja kuasisiwa TANU nyumba hii ilijengwa
kati ya mwaka wa 1929 - 1933 na ilijengwa kwa kujitolea na viongozi
wa wakati ule.
Baadhi ya viongozi hawa walikuwapo hadi TANU ilipoasisiwa lakini leo
ukiingia katika ofisi za CCM hakuna hata kumbukumbu ya picha zao mle
ndani.
Ikiwa Bunge Dodoma kuna Ukumbi wa Msekwa kwa heshima ya mchango
wake katika Bunge kwa nini leo tusiwa na ukumbi wa mkutano katika ofisi
kwa kumbukumbu ya Abdulwahid Sykes au Earle Seaton au Sheikh
Hassan bin Amir au Sheikh Suleiman Takadir.
Ikiwa labda wewe hujapatapo kusikia majina hayo katika kupigania uhuru
wa Tanganyika nakushauri usome kitabu cha Abdulwahid Sykes.
Ukipenda zaidi ingia hapa:
Mohamed Said: KUTOKA JF: ATHARI YA KUJARIBU KUIBADILI HISTORIA YA TANU NA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Nakumbuka kauli ya hayati baba wa taifa kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa na dhumuni kubwa ni kuifanya ivuke mipaka zaidi ya Tanzania...unapoandika kiingereza na wakati mleta Uzi ameandika kiswahili inaonesha wazi namna ulivyo limbukeni wa lugha ya malkia. Kuna forum za kiingereza nyingi tu changia kwa lugha hiyo, inaonesha wazi umesoma maelezo fika na kuelewa kisha kwa utashi wako ukaona ubadili lugha ili sijui ueleweke sana au iweje Unajua wewe na nafsi yako...soma alama za nyakati sio kila mahala pa kuandika lugha ya malkia ndugu, hivyo mara nyingine jifunze kuandika kwa lugha ya taifa mahala panapostahili na kiingereza mahala panapostahili....You should be ashamed of yourself. Lot of people did and so much more are still doing great job for this great nation but that shouldn't be taken as a criterion for unnecessary entertaining cheap exeptionalism. its shame for a person of your age, under the influence of religious prejudice, periodically attempting to illegitimately impose your selfish needs and desires on others. If those people fit your criteria for heroism why cant you keep it private since you independently perceive them as such? The history has already been written, MOVE ON.
Uhuru n Umoja,You should be ashamed of yourself. Lot of people did and so much more are still doing great job for this great nation but that shouldn't be taken as a criterion for unnecessary entertaining cheap exeptionalism. its shame for a person of your age, under the influence of religious prejudice, periodically attempting to illegitimately impose your selfish needs and desires on others. If those people fit your criteria for heroism why cant you keep it private since you independently perceive them as such? The history has already been written, MOVE ON.
Nakumbuka kauli ya hayati baba wa taifa kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa na dhumuni kubwa ni kuifanya ivuke mipaka zaidi ya Tanzania...unapoandika kiingereza na wakati mleta Uzi ameandika kiswahili inaonesha wazi namna ulivyo limbukeni wa lugha ya malkia. Kuna forum za kiingereza nyingi tu changia kwa lugha hiyo, inaonesha wazi umesoma maelezo fika na kuelewa kisha kwa utashi wako ukaona ubadili lugha ili sijui ueleweke sana au iweje Unajua wewe na nafsi yako...soma alama za nyakati sio kila mahala pa kuandika lugha ya malkia ndugu, hivyo mara nyingine jifunze kuandika kwa lugha ya taifa mahala panapostahili na kiingereza mahala panapostahili....
Lutayega,hivi kushiriki katika uchaguzi na kupiga Picha na aliyeshinda hicho kinakuwa kiashiria cha ushujaa(kupigania Uhuru). mzee Mohamed Said ni vena ungeonesha mchango wao ktk harakati za Uhuru badala ya kutuwekea Picha na kutaka kutuaminisha kwamba wana mchango mkubwa ktk taifa hili
Kabanga,Inahitaji subira sana lakini.....!
Uhuru n Umoja,
Sijui kwa nini umehamaki na kuja na vitisho vya Kiingereza.
Ninakujibu kwa Kiswahili kwa kuwa sitaki nami niwe kama wewe
kujigeuza mfungwa bila sababu.
Nina Merit (First Class Pass) Cambridge English Oral Cambridge
Examination 1970.
Nimeshirikishwa na Oxford University Press Nairobi kuandika vitabu
vya kiada cha kusomesha lugha ya Kiingereza na nina vitabu viwili
viko katika mtaala Kenya.
Kazi hizi zimefanywa 2006 na 2007.
Kiingereza nakijua vizuri sina ushamba wa kutaka watu wanijue kuwa
mimi ni mtaalamu wa lugha hiyo.
Nimechapa kitabu cha Abdul Sykes kwa Kiingereza London (1998)
na pia nimeshiriki kama mmoja wa waandishi wa Dictionary of African
Biography, Oxford University Press, New York (2011).
Naamini tushaelewana.
Nakumbuka kauli ya hayati baba wa taifa kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa na dhumuni kubwa ni kuifanya ivuke mipaka zaidi ya Tanzania...unapoandika kiingereza na wakati mleta Uzi ameandika kiswahili inaonesha wazi namna ulivyo limbukeni wa lugha ya malkia. Kuna forum za kiingereza nyingi tu changia kwa lugha hiyo, inaonesha wazi umesoma maelezo fika na kuelewa kisha kwa utashi wako ukaona ubadili lugha ili sijui ueleweke sana au iweje Unajua wewe na nafsi yako...soma alama za nyakati sio kila mahala pa kuandika lugha ya malkia ndugu, hivyo mara nyingine jifunze kuandika kwa lugha ya taifa mahala panapostahili na kiingereza mahala panapostahili....
Achana nae huyo ni mtumwa wa lugha za watu lugha ya mama yake yenyewe hajui
Uhuru n Umoja,Mimi nakufahamu vizuri, vizuri sana, na nakufuatilia vyema, nlikuona kwenye moja ya university USA but sikumbuki wapi niliona picha ile.
"sina ushamba wa kutaka watu wanijue kuwa
mimi ni mtaalamu wa lugha hiyo."
Hii ni ajabu sana, na kwa kina naona unahamaki na hutaki ongelea ujumbe niliokufikishia.
Matumizi ya lugha sio ushamba ila ni ushamba kusema matumizi ya lugha ni ushamba. Lugha ni mawasiliano, ingekua vibaya kwangu kutumia lugha ya hiyo kwa asiye na ufahamu, ila kwakua nakufahamu, na najua kua utanipata nliamua kukufikishia UJUMBE kwa lugha hiyo.
Ulichokifanya ni ujanja ujanja wa kukwepa ujumbe maridhawa nliokufikishia na kuamua kuongea ishu za lugha.
Uhuru n Umoja,Kwenye forum yeyote na kwenye mada yoyote wachangiaji ni wengi hivyo sio lazima kila achangiae humu akupendeze wewe or afanye unachotarajia. ujumbe wangu mimi ni kwake yeye Mohamed Said.
Mchapito,Acha udini mzee....binafsi nakuheshimu sana
Kumbuka lakini hapa tunapitia wengi,kama ujumbe wako wa English umemlenga yeye unge m pm.Mimi nakufahamu vizuri, vizuri sana, na nakufuatilia vyema, nlikuona kwenye moja ya university USA but sikumbuki wapi niliona picha ile.