Wapigania Uhuru wa Tanganyika wanaosubiri kutambuliwa wakiwa Makaburini

Hivi nchi karibia zote kupata uhuru miaka hiyo ya 50 to 60 ilikuwa bahati? Hakuna mtu aliyepigani uhuru ilikuwa set up kwa UK kuachia hizi nchi zijitawale lakini hata hayo malengo hatufikia maana leo hii watu wanakufa baharini ili mradi wafike kwa hao wakoloni. Wa failed kama bara la africa tena sana. Ndivyo navyo amini leo hii baada ya miaka 50 hatuwezi kupigana na mwingereza na silaha za kwao sasa miaka hiyoo hatukuwa na kitu ubavu wa kupigana ulitoka wapi na wakati ule UK ndio alikuwa super power sio kama sasa. Siamini hizi story kila kitu was set up.
 
Hejjah,
Kasome historia ya Mau Mau na ya India vipi uhuru ulipatikana.
 
Hejjah,
Kasome historia ya Mau Mau na ya India vipi uhuru ulipatikana.
India wakoloni ndio walifanya kuwe na Pakistan, Bangladesh na kuacha fitna Kashmir. Sasa huku kwetu mara TANU ndio kaleta uhuru bila kumwaga damu tena leo Mau Mau? Kwa nguvu gani? Hebu tuwe logic leo tu hatuwawezi 2016. History iko kupendelea vikundi ili watawale tu. Kuna ukweli 50% rest questions than answers.
 
Hoja yangu ni moja ambayo unaikimbia. Sasa umekuja na inshu za historia. Historia ni kitu cha mwicho nilichoandia na kusema tu move on. Mbona wakimbia hoja ya msingi?
 
Hoja yangu ni moja ambayo unaikimbia. Sasa umekuja na inshu za historia. Historia ni kitu cha mwicho nilichoandia na kusema tu move on. Mbona wakimbia hoja ya msingi?
Uhuru n Umoja,
Hapana sikimbii inawezekana mimi sijaelewa hoja yako.
Nifahamishe nami nitajaribu kukupa jibu ikiwa nitaweza.

Mimi kuja na historia ndiyo mahali pake na hata huko US
unaposema umeniona lakini hukumbuki mji upi nimekuja
huko kusomesha historia ya uhuru wa Tanganyika.
 
Waliopita huko nyuma sio malaika, ni wanadamu na wanamapungufu yao. Kwa chochote kilichotokea dhana ya kujenga nnchi iliyo na amani, utulivu, upendo na ushirikiano iko mikononi mwetu, wote. Itikadi kali za kidini zilizo na dira ya kuharibu utaifa tulionao ni zakuachana nazo. Keria yangu ya kwanza ilikua ni Upadre, ila baada ya masomo seminary na baada ya masomo zaidi nlikuja tambua inshu za imani, siendi tena Kanisani, zaidi ya kumuomba Mungu na kujaribu ketenda mema.

Imani za kidini, na imani nyingi tulizonazo ni vitu vilivyo pandikizwa bila ridhaa zetu. Wewe ni Muislam na mimi Mkristo MR Mohamed Said, na wewe wala mimi na wengine wengi, hatukua Waislam ama Wakristo simply because tulipata kujua ukweli juu ya Dini hizi mbili ndio tukajiunga, La! simple fact ni kua, Wengi wetu ni waislam na wakristo kwakua TULIZALIWA na wazazi Waislam na wazazi Wakikristo na kulelewa kwenye misingi ya dini hizo. Hivyo basi, kulikua na uwezekano wa wewe kua Mkristo na mimi kua Muislam iwapo tungezaliwa na kukulia chini ya wazazi Wakristo/Waislam. Hilo ndilo chimbuko kubwa la imani zetu za dini, wengi wetu, haikua uamuzi wala chaguo letu.
 
Sahihi nlikuona kwenye ukiwa umesimama nje ya Chuo fulani na watu kadhaa.

Sasa Mkuu kweli wewe ni mjanja, iwaje uniambie nikuambie wakati post yangu ya mwanzo haijadilitiwa? ipo. Isome upya.
 
Mimi huwaga sipendi kuona uzi umekuja kinyumbani lakini wakaja watu wakabandika mchangio kwa kizungu.
 
Sahihi nlikuona kwenye ukiwa umesimama nje ya Chuo fulani na watu kadhaa.

Sasa Mkuu kweli wewe ni mjanja, iwaje uniambie nikuambie wakati post yangu ya mwanzo haijadilitiwa? ipo. Isome upya.

Uhuru n Umoja,
Tuna msemo Waswahili: ''Muongo muongoze.''

Nimekusoma na hayo ndiyo majibu yangu kwa
kadri nilivyokuelewa.

Ikiwa unataka jibu lingine itabidi unifafanulie
swali lako ili nilielewe.
 
Uhuru n Umoja,
Nimekusoma.

Kitu kimoja katika hizo rejea nilizoweka ni kuwa
kila niliyempa rejea hizo hurudi jamvini mpole na
hasemi nini kasoma mle ndani.

Na mimi huwa simlazimishi aeleze alichokikuta mle.
 
nimecheck hapo napata picha kuwa kweli waislam walitia mchango mkubwa katika kupata uhuru....ila mwisho wasiku,wakanyiwa kila walipojituma
 
Nia na madhumuni yako juu ya ushabiki huu wa udini ni nini hasa? maana kikubwa ambacho mara nyingi naona ni kuanzisha ama kuendeleza "matra waislam tunaonewa". nahii haijengi bali hubomoa upendo na kujenga chuki. Nini hasa utafaidika ukifanikia kufanya hivi?
 
nimecheck hapo napata picha kuwa kweli waislam walitia mchango mkubwa katika kupata uhuru....ila mwisho wasiku,wakanyiwa kila walipojituma

Haya ndio Mzee Mohamed Said anayo yataka. nafikiri anafurahia sana kazi yake matra ya Waislam tunaonewa, tumedhulumiwa.
 
Mkuu Mohamed Said , mbona huo mtaa wa pili kutoka mtaa wa Uhuru zamani ukiitwa Aggrey unaitwa Max Mbwana? Na kule Mwinjuma kinondoni si kwa heshima ya huyo mzee?
 
Acha udini mzee....binafsi nakuheshimu sana
Udini uko wapi ww mbona unakimbia kivuli chako.. Uhuru ulionao leo watu waliteseka, mtu kama dossa azizi unajua alifanya nini ww kumbukumbu yake iko wapi?
 
Uhuru n Umoja,
Hayo unasema wewe ikiwa unashahidi wa hayo uweke hapa
ushahidi wako usomwe na wote.
 
Uhuru n Umoja,
Hayo unasema wewe ikiwa unashahidi wa hayo uweke hapa
ushahidi wako usomwe na wote.

Ushahidi? Hivi mimi ni wakwanza kukueleza hili? Na pia ushahidi upi wataka toka kwangu? Post zako nyingi ni ushahidi tosha. Yeyote anaedai ushahidi atafute post zako.
 
Ushahidi? Hivi mimi ni wakwanza kukueleza hili? Na pia ushahidi upi wataka toka kwangu? Post zako nyingi ni ushahidi tosha. Yeyote anaedai ushahidi atafute post zako.
Uhuru n Umoja,
Tatizo liko kwako wewe ndiyo unanishutumu mie na mimi
nakuomba ushahidi.

Kusema kuwa ushahidi uko kwenye post zangu hili halitoshi.

Nina kitabu nimeandika: ''The Life and Times of Abdulwahid
SykesThe Untold Story of the Muslim Struggle Against British
Colonialism in Tanganyika.''

Umekisoma.

Toa ushahidi kwenye kitabu hicho au kokote upendapo katika
kazi zangu.
 
Sikupenda kwakua, mada zako nyingi mahitimisho yako ni waislam hawatendewi haki, wamedhulumiwa. Kikubwa nachotaka kujua ni manufaa yapi utapata baada ya kufanikusha kusambaza ujumbe huu wa chuki.
 
Kitabu changu cha Abdul Sykes ''reviews,'' zimefanywa na
mabingwa wa African History duniani kama John Illife,
Jonathon Glassman na James Brenan.

Hakuna hata sehemu moja wamesema kama naandika chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…