Wapigania Uhuru wa Tanganyika wanaosubiri kutambuliwa wakiwa Makaburini

Mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu na nafaka, nafaka zitakoboka maganda yake lakini upumbavu wake haumtoki. Na ndiyo sababu hadi sasa unaendeleza upumbavu huo huo. Kwenda huko pumbavu!
Hongera wewe Mwerevu
 
sheikh wangu...nani huyu aliyesababisha mashujaa wetu wasitambuliwe tumwadabishe?
 
Pasco,
Umesema kweli TANU imeanzishwa mahali pengi.

Lakini chanzo cha matawi hayo yote ni nyumbani
kwa Abdul Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuku.
Maalim kwa vile wewe uliambiwa kuwa TANU ilianzia nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuku, hivyo unataka kulazimisha kila TANU ilipoanzia pia kibao hicho kiseme "Pia ilianzia nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuku?!".

Tabia ya "mwamba ngoma" pia ni tabia ya kibinaadam kila mtu kuvutia kwake, kwa vile wewe uliambiwa TANU ilianzia nyumbani kwa huyu Mzulu Abdul Sykes Mtaa wa Aggrey na Sikukuku, inaweza kuwa ni mwamba ngoma tuu, lakini ukweli ukawa TANU imeanzia pale kwenye kibao kilichoandikwa "Hapa ndipo TANU, ilipozaliwa!" na sio kwa muwamba ngoma!.

Pasco
 
Pasco,
Mimi licha ya kuambiwa nimefanya utafiti na nimesoma nyaraka za
Sykes jalada baada ya jalada karatasi ya kwanza hadi ya mwisho.

Baada ya kumaliza nikaandika kitabu na ndicho kitabu hivi sasa katika
vyuo vingi duniani wanakosomesha African History kinatumika.

Wala simlazimishi mtu kuamini niliyoandika.

Lakini ikutoshe tu kuwa kitabu changu kimefanyiwa ''review,'' na ''journals''
nyingi Ulaya na Marekani na kimo katika Cambridge Journal of African
History na aliyekiingiza humo ni John Iliffe.

Naamini unalijua hili jarida na hadhi yake na unamjua John Iliffe.

John Iliffe ndiye aliyeandika historia ya Tanganyika na katika mlango wa
African Association nyaraka alizotumia kuandika ni nyaraka za Sykes hizi
alipatiwa na Daisy Abdulwahid Sykes ambae alikuwa mwanafunzi wake
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam mwaka wa 1968.

Ikiwa mimi ni muongo basi hata Iliffe ni muongo na Daisy pia ni muongo
yeye na baba yake marehemu Abdul Sykes maana hizo nyaraka ni za
baba yake Mzee Kleist Sykes ambae Daisy ni babu yake.

Lakini ukipenda unaweza kumsoma Daisy katika, ''Modern Tanzanians,''
kitabu alichohariri John Iliffe, Daisy kaandika katika kitabu hiki maisha
ya babu yake, ''Kleist Sykes: The Townsman.''

Yapo mengi lakini tuishie hapa kwa leo.

Pasco,
Unaweza kuingia hapa kusoma zaidi historia ya Tanganyika:
Mohamed Said: KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK

Nimeshiriki kama mtafiti na mwandishi katika mradi huo wa Dictionary
of African Biography (DAB) ambao ulikuwa ni ushirika kati ya Harvard
na Oxford University Press, New York.
 
sheikh wangu...nani huyu aliyesababisha mashujaa wetu wasitambuliwe tumwadabishe?
M - Mbabe,
Nishawaadabisha mwaka wa 1998 nilipochapa kitabu kusahihisha historia.
 
Kadoda11,
Nyerere
anatajwa kila siku nchini petu na wala amtajae si Mohamed Said.
Ni weye ndio umtajae zaidi.
kuna mada yako moja hapa jamvini, ulimtaja nyerere saba mara sabini.nilihesabu.
 
Inshallah nitafanya hivo baada ya mfungo wa ramadhan
Kadoda11,
Allahuma Amin.

Katika post kama tatu hivi za mwisho kuna mengi nimeweka
katika historia ya TANU hukuona la kusema ila umekerwa na
kutajwa Nyerere...

Hujaona chochote hapa chini:
Pasco,
Mimi licha ya kuambiwa nimefanya utafiti na nimesoma nyaraka za
Sykes jalada baada ya jalada karatasi ya kwanza hadi ya mwisho.

Baada ya kumaliza nikaandika kitabu na ndicho kitabu hivi sasa katika
vyuo vingi duniani wanakosomesha African History kinatumika.

Wala simlazimishi mtu kuamini niliyoandika.

Lakini ikutoshe tu kuwa kitabu changu kimefanyiwa ''review,'' na ''journals''
nyingi Ulaya na Marekani na kimo katika Cambridge Journal of African
History na aliyekiingiza humo ni John Iliffe.

Naamini unalijua hili jarida na hadhi yake na unamjua John Iliffe.

John Iliffe ndiye aliyeandika historia ya Tanganyika na katika mlango wa
African Association nyaraka alizotumia kuandika ni nyaraka za Sykes hizi
alipatiwa na Daisy Abdulwahid Sykes ambae alikuwa mwanafunzi wake
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam mwaka wa 1968.

Ikiwa mimi ni muongo basi hata Iliffe ni muongo na Daisy pia ni muongo
yeye na baba yake marehemu Abdul Sykes maana hizo nyaraka ni za
baba yake Mzee Kleist Sykes ambae Daisy ni babu yake.

Lakini ukipenda unaweza kumsoma Daisy katika, ''Modern Tanzanians,''
kitabu alichohariri John Iliffe, Daisy kaandika katika kitabu hiki maisha
ya babu yake, ''Kleist Sykes: The Townsman.''

Yapo mengi lakini tuishie hapa kwa leo.

Pasco,
Unaweza kuingia hapa kusoma zaidi historia ya Tanganyika:
Mohamed Said: KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK

Nimeshiriki kama mtafiti na mwandishi katika mradi huo wa Dictionary
of African Biography (DAB) ambao ulikuwa ni ushirika kati ya Harvard
na Oxford University Press, New York.

Kadoda11,
Nyerere
katajwa mara ngapi?
 
Uko sahihi, majina ya wapigania uhuru wa nchi ni vyema yapewe hadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…