Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Baada ya Trump kusitisha misaada yote ya Marekani kwa kila kitu na kote duniani bila shaka kundi mojawapo la watu ambao watakuwa wamefurahia ni wale wajinga ambao hupinga matumizi ya chanjo(anti-vaxxers), ARVs na Condom.
Hata hivyo ni vyema watu hao wasifurahi sana hadi kupitiliza kwa sababu furaha yao inaweza isidumu muda mrefu sana kwani majimbo zaidi ya 20 Marekani yamefungua kesi mahakamani kupinga katazo hilo kwa kuwa linakiuka sheria za nchi yao.
Misaada ya Marekani huwa inatolewa kwa utaratibu wa bajeti bungeni ambapo bajeti ikishapitishwa huwa ni sheria na Rais anahitaji mabadiliko ya sheria bungeni kusitisha au kuondoa hiyo misaada.
Hata hivyo hata kama hiyo misaada haitauridi sio kwamba Trump anapinga matumizi ya hivi vitu bali ni kwamba hataki tu kuwasaidia, anataka mnunue kwa pesa zenu wenyewe akiamini Marekani itafaidika zaidi.