Wapinga Chanjo, ARVs na Condom msichekelee sana amri ya Trump kusitisha misaada

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Baada ya Trump kusitisha misaada yote ya Marekani kwa kila kitu na kote duniani bila shaka kundi mojawapo la watu ambao watakuwa wamefurahia ni wale wajinga ambao hupinga matumizi ya chanjo(anti-vaxxers), ARVs na Condom.

Hata hivyo ni vyema watu hao wasifurahi sana hadi kupitiliza kwa sababu furaha yao inaweza isidumu muda mrefu sana kwani majimbo zaidi ya 20 Marekani yamefungua kesi mahakamani kupinga katazo hilo kwa kuwa linakiuka sheria za nchi yao.

Misaada ya Marekani huwa inatolewa kwa utaratibu wa bajeti bungeni ambapo bajeti ikishapitishwa huwa ni sheria na Rais anahitaji mabadiliko ya sheria bungeni kusitisha au kuondoa hiyo misaada.

Hata hivyo hata kama hiyo misaada haitauridi sio kwamba Trump anapinga matumizi ya hivi vitu bali ni kwamba hataki tu kuwasaidia, anataka mnunue kwa pesa zenu wenyewe akiamini Marekani itafaidika zaidi.
 
Acheni upumbavu hakuna anaye pinga watu kupewa chanjo ,ARV wa kindomu bure watu wanacho pinga ni hii misaada kwa sababu inatudumaza akili.

Haiwezekani pesa za kufanyia mambo ya kipumbavu zimejaa lakini linapo kuja pesa za kuhudumia raia basi hizo hazipo bali mnategemea misaada ya taifa lingine.
Mkaguzi wa serikali kwenye ripoti ya mwaka juzi 2023 alisema kuwa Tz kwa mwaka inapoteza zaidi ya $bilion 1.5 kwa sababu ya ufisadi na ukwepaji wa kodi. Hapo bado hatuweka pesa zakuhonga makanisa na kununulia mashekhe magari, kununua magoli, kuhonga wapinzani ili waunge juhudi, kulipa machawa akina mwijaku waxunguke dunia nzima kumtangaza ,mtumizi ya viongozi kujifaharisha kwa mpaka mkuu wa wilaya ana msafara.

Hayo yote ukiyaunganisha unaweza kuta Tz ina poteza zaidi ya $bilion 2 na ushenzi kwa mwaka ambazo ni sawa na tuirion karibia 5,alafu leo unalilia dora milion 500 za msaada wa Marekani.

Yaani kiongozi wa nchi anaenda kanisani kutoa sadaka ya milion 100 lakini milion 20 za kujenga vyoo kwenye shule fulani hizo hazipo mpaka Japan aje kutoa msaada wa kukujengea hivyo vyoo.
 
Hiyo ni executive order, hakuna cha bajeti wala mtoto wa bajeti.

Mbaneni mama abdul na watu wake waache kutumia pesa zenu hovyo kwenye mambo ya kijinga la sivyo mtateketea nawaambia.
 
Hard times will make you africans wiser, haiwezekani nyie pesa ni za kuletea heshima bar halafu huduma muhimu mtegemee wazungu, haiwezekani hata kidogo
Wanaoshinda bar wana pesa za chanjo na condoms, vipi wale wenye uwezo kunywa visingura tu barabarani au mnazi au ulanzi n.k??
 
Acheni upumbavu hakuna anaye pinga watu kupewa chanjo ,ARV wa kindomu bure watu wanacho pinga ni hii misaada kwa sababu inatudumaza akili.

Haiwezekani pesa za kufanyia mambo ya kipumbavu zimejaa lakini linapo kuja pesa za kuhudumia raia basi hizo hazipo bali mnategemea misaada ya taifa lingine.
Mkaguzi wa serikali kwenye ripoti ya mwaka juzi 2023 alisema kuwa Tz kwa mwaka inapoteza zaidi ya $bilion 1.5 kwa sababu ya ufisadi na ukwepaji wa kodi. Hapo bado hatuweka pesa zakuhonga makanisa na kununulia mashekhe magari, kununua magoli, kuhonga wapinzani ili waunge juhudi, kulipa machawa akina mwijaku waxunguke dunia nzima kumtangaza ,mtumizi ya viongozi kujifaharisha kwa mpaka mkuu wa wilaya ana msafara.

Hayo yote ukiyaunganisha unaweza kuta Tz ina poteza zaidi ya $bilion 2 na ushenzi kwa mwaka ambazo ni sawa na tuirion karibia 5,alafu leo unalilia dora milion 500 za msaada wa Marekani.

Yaani kiongozi wa nchi anaenda kanisani kutoa sadaka ya milion 100 lakini milion 20 za kujenga vyoo kwenye shule fulani hizo hazipo mpaka Japan aje kutoa msaada wa kukujengea hivyo vyoo.
Umemaliza kila kitu mkuu,
 
Wanaoshinda bar wana pesa za chanjo na condoms, vipi wale wenye uwezo kunywa visingura tu barabarani au mnazi au ulanzi n.k??

abadili mienendo yao la sivyo watapotea.

Wanaoshinda bar wana pesa za chanjo na condoms, vipi wale wenye uwezo kunywa visingura tu barabarani au mnazi au ulanzi n.k??
1. Wabadili mienendo yao la sivyo watapotea.

2. Waibane serikali ya kifisadi ya Samia iache matumizi ya kilofa kwenye mambo ya kilofa
 
Back
Top Bottom