kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Inawezekana ugumu wa kuelewa hurithiwa. Coverage ya chanjo ya gonjwa la Covid Uingereza ni zaidi ya 70% . Angalia viwanjani kwenye premiere league England ni full. Watu hawavai barakoa tena viwanjani.
Njoo huku bongoland unawakuta much know just for political gain, wahamasishaji kuzuia watu wasiwe immunised. Nini Lengo la hawa watu?
Science ya chanjo inajulikana na mechanism ya chanjo kutengeneza kinga inajulikana.
Isitoshe wahusika wanachanjo kadhaa tayari toka ubeberuni.
Nyie wapinga chanjo mkiongozwa na hao two MPS Gwajima na Polepole what you are doing is sabotage maana ukweli u peupe huko ulaya walikochnjwa maisha ya kawaida yameanza kurejea.
Twendeni tukachanje korona inaua