Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajitambui huyu jamaa anashobokea wazungu.Sisi hatujaacha kujaa uwanjani tangu Corona ianze kuanzia kigoma mwisho wa reli.
Hao waingereza wanatuiga sisi bongo land
Huyo ni fala mmoja anasifia waingereza kujaa uwanjani leo, wakati hapa tangu Corona ianzishwe(sijakosea *ianzishwe),sisi viwanja vinajaa tena watu hawana time na barakoa. Muulize taifa palikuwaje siku ya wananchi!?Sisi hatujaacha kujaa uwanjani tangu Corona ianze kuanzia kigoma mwisho wa reli.
Hao waingereza wanatuiga sisi bongo land
Mimi mwenyewe nilitaka hizo million 1 zisinipite, wafuasi wa Rashid wasubirie dozi ya million 20 akili zikiwarudiaWananchi tumehamasika tumechanja ,ndio maana sasa tunajiachia,tulichangamikia zile milioni za mwanzo za j&j
Mwambieni kwanza mbowe na kina mnyika watoe barakoa. Nao si walishachanjwa tena ya mbowe ni first class.Inawezekana ugumu wa kuelewa hurithiwa. Coverage ya chanjo ya gonjwa la Covid Uingereza ni zaidi ya 70% . Angalia viwanjani kwenye premiere league England ni full. Watu hawavai barakoa tena viwanjani.
Njoo huku bongoland unawakuta much know just for political gain, wahamasishaji kuzuia watu wasiwe immunised. Nini Lengo la hawa watu ?. Science ya chanjo inajulikana na mechanism ya chanjo kutengeneza kinga inajulikana. Isitoshe wahusika wanachanjo kadhaa tayari toka ubeberuni.
Nyie wapinga chanjo mkiongozwa na hao two MPS Gwajima na Polepole what you are doing is sabotage maana ukweli u peupe huko ulaya walikochnjwa maisha ya kawaida yameanza kurejea.
Twendeni tukachanje korona inaua
😂😂😂😂😂Kwani Yanga day uliona barakoa
Hayo madawa unayotibiwa nayo yamefanyiwa hivyo unavyotaka!Kaka hebu jaribu kutofautisha siasa na afya bhn katika chanjo zilizopita kuna chanjo watu waliwahi kuchanjwa wakaambiwaa ibapunguza uwezekano tu?.... mi siyo doctor ila naona wakuu wengine wa idara ya afya wametulia wanasema ni waanasubiri kwanza mimi nani nimesoma biashara nihaaarakie haya mambo? Je nchi yetu kiukweli imeweza kujithibitishia kuwa hii chanjo inatakiwa itengenezwe hvyo au ni kwamba wameweza kudhibitishaa kuwa inavitu gani na gani? Kaka mi naona kuhusu hili kila mtu ajiongeze yeye kama yeye akiona nisawa achanjwe akiona si sawa na aachee
We m.pumbavu kweli, chanjo milioni 1 wamechanja watu laki 3 tu. Sawa na 0.5% ya watanzania wote bado unajiona mjanja kukimbilia chanjo za majaribio!?.. na watu wamegoma kuchanjwa hao laki 3 mliowapata wanawatosha, mpaka wizara ya afya imepanic imesitisha promo ya chanjo na ma J&J mliyoletewa yana expire dakika yoyote kuanzia sasa..Mimi mwenyewe nilitaka hizo million 1 zisinipite, wafuasi wa Rashid wasubirie dozi ya million 20 akili zikiwarudia
COVID ipo acha maskhara weweWe m.pumbavu kweli, chanjo milioni 1 wamechanja watu laki 3 tu. Sawa na 0.5% ya watanzania wote bado unajiona mjanja kukimbilia chanjo za majaribio!?.. na watu wamegoma kuchanjwa hao laki 3 mliowapata wanawatosha, mpaka wizara ya afya imepanic imesitisha promo ya chanjo na ma J&J mliyoletewa yana expire dakika yoyote kuanzia sasa..
Upumbavu umetoka wapi tena wewe mwerevu?We m.pumbavu kweli, chanjo milioni 1 wamechanja watu laki 3 tu. Sawa na 0.5% ya watanzania wote bado unajiona mjanja kukimbilia chanjo za majaribio!?.. na watu wamegoma kuchanjwa hao laki 3 mliowapata wanawatosha, mpaka wizara ya afya imepanic imesitisha promo ya chanjo na ma J&J mliyoletewa yana expire dakika yoyote kuanzia sasa..
Mimi mwenyewe jamaa imemkung'uta mpaka kuongea akawa anashindwa, kwenda hospital wakamwambia ni pneumoniaHii kitu ni serious, mshikaji wangu alikataa kabisa na kuongea ovyo kuhusu chanjo, kama mwezi umepita alipigwa na COVID hoi week tatu kitandani, bahati kapona sasa hivi, sasa hivi hataki kumsikia Gwajima
Tatizo hamjitegemei akili, mnashikiwa akili na wazungu. Mwaka Jana mpaka mwaka huu mwezi wa saba hakukuwa na chanjo tuliishije?,wewe mbona hujafa mpaka leo!?,Mimi nimeshapata Corona na kupona Ila bado hunichanji hata uje na bunduki. Na kwa taarifa yako ninawajua watu hapahapa Tz waliochanjwa mwezi huu wa 8 na wapo hoi kitandani na mwingine tumeshamzika wiki iliyopita Ila hutasikia vyombo vya habari vikitangaza.Hii kitu ni serious, mshikaji wangu alikataa kabisa na kuongea ovyo kuhusu chanjo, kama mwezi umepita alipigwa na COVID hoi week tatu kitandani, bahati kapona sasa hivi, sasa hivi hataki kumsikia Gwajima
Kama chanjo milioni moja za J&J zilizoletwa zimetumika laki 3 tu mwezi sasa, nyingine zimedoda.. wewe kudhani milioni kadhaa zikiletwa zitapata wachanjaji sio u.pumbavu!?Upumbavu umetoka wapi tena wewe mwerevu?
Anna Mgwhira alipata akapona, mara ya pili hii delta ilimuacha?Tatizo hamjitegemei akili, mnashikiwa akili na wazungu. Mwaka Jana mpaka mwaka huu mwezi wa saba hakukuwa na chanjo tuliishije?,wewe mbona hujafa mpaka leo!?,Mimi nimeshapata Corona na kupona Ila bado hunichanji hata uje na bunduki. Na kwa taarifa yako ninawajua watu hapahapa Tz waliochanjwa mwezi huu wa 8 na wapo hoi kitandani na mwingine tumeshamzika wiki iliyopita Ila hutasikia vyombo vya habari vikitangaza.
Sawa wewe mwerevuKama chanjo milioni moja za J&J zilizoletwa zimetumika laki 3 tu mwezi sasa, nyingine zimedoda.. wewe kudhani milioni kadhaa zikiletwa zitapata wachanjaji sio u.pumbavu!?
Sijakataa mimi mwenyewe imenipiga February, Ila mnakosea kudhani chanjo ni suluhisho. Moshi wamepigwa sana baada ya kukimbilia chanjo mpakani mwa Kenya wakijiona wajanja na chanjo ndo zikawageuka. Sasa hivi ndo wamejiona wajinga baada ya kudondoshwa na chanjo zenyewe.COVID ipo acha maskhara wewe
Huwezi kumpangia mtu, ndiyo maana ni uamuzi wa mtuWapinga chanjo ndio walistahili washitakiwe kwa ugaidi na uhujumu uchumi na sii wale wa kubambikiwa.
Tafuta taarifa sahihi ana Mgwira alishauriwa vibaya akakimbilia chanjo toka Kenya. Tafuta watu wake wa karibu watakwambia. Na baada ya kuchanjwa hakuchukua round.Anna Mgwhira alipata akapona, mara ya pili hii delta ilimuacha?
Leta uthibitisho,Sijakataa mimi mwenyewe imenipiga February, Ila mnakosea kudhani chanjo ni suluhisho. Moshi wamepigwa sana baada ya kukimbilia chanjo mpakani mwa Kenya wakijiona wajanja na chanjo ndo zikawageuka. Sasa hivi ndo wamejiona wajinga baada ya kudondoshwa na chanjo zenyewe.