Hayo machanjo ni Kama ARV ,ukisharuhusu mwili utegemee hayo Kinga ya asili inaisha. Muda sio mrefu mtaletewa booster, kirusi kikijibadili na wewe unabadili chanjo. Mwisho wa siku utasikia kidney failure, heart attack etc. Unawaamini waisraeli sana!?.. Pharmaceutical companies zinamilikiwa na waisraeli. Hawashindwi kuchanja taifa lao lote maji yaliyo kwenye chupa zimechorwa pfizer/moderna ili ulimwengu uingie mkenge wapige trillion$$ za kutosha. Unaonekana upo very shallow kuhusu hii Dunia, tumia smartphone na bando kupata intelijensia ya Dunia hii. Sio kuchat tu.