Kwa KATIBA Kuna kipengele kibaya sana kinacholeta kibri Kwa CCM. Ni kile kisemacho MATOKEO ya u...is hayahojiwi mahakamani. Na mtu wa tume akishatangaza ndo bas tena.Mkuu
Unamaaanisha umoja party!!?
TUSUBIRI
Hivyo kutegemea kuwa kipo chama kinaweza kuitoa CCM kupitia uchaguzi ni ndoto za mchana. KATIBA mpya ndo pekee itakayoiua CCM automatically.
Kumbuka hata kuiua TANU ilibidi NYERERE abadili Katiba kwanza ndo Ikazaliwa CCM. Msiingie kwenye mtego wa uchaguzi kabla ya Katiba. Anaekalia kiti hawezi ruhusu kuondoa kipengele Cha matokeo kutohojiwa mahakamani. Amen.