Kwa KATIBA Kuna kipengele kibaya sana kinacholeta kibri Kwa CCM. Ni kile kisemacho MATOKEO ya u...is hayahojiwi mahakamani. Na mtu wa tume akishatangaza ndo bas tena.Mkuu
Unamaaanisha umoja party!!?
TUSUBIRI
Mimi ni mmoja wa wawakilishi wa SERIKALI ya Mbinguni hapa TANZANIA. System wapo, na sie tupo.Una komenti KWA kujiamini MNO!!?ndio kusema waonaji/manabii wa Zama hizi hupewa unabii na the state na kuusema Ili kuwaandaa watu kisaikolojia juu ya mabadiliko yajayo!!!?mfano Tumia akili hutoa ujumbe wa State lakini hujiita muonaji tu!!!!Labda waonaji ni Member wa mhimili ule KWENYE nchi hii!!?
Swala la kushiriki au kutoshiriki kwenye uchaguzi halipo mikononi mwa Raia bali chama tawala!!ni ngumu Sana KWA vyama vya upinzani kutoshiriki kama wakiahidiwa ruzuku za UBUNGE hasa CHADEMA!!Kwa KATIBA Kuna kipengele kibaya sana kinacholeta kibri Kwa CCM. Ni kile kisemacho MATOKEO ya u...is hayahojiwi mahakamani. Na mtu wa tume akishatangaza ndo bas tena.
Hivyo kutegemea kuwa kipo chama kinaweza kuitoa CCM kupitia uchaguzi ni ndoto za mchana. KATIBA mpya ndo pekee itakayoiua CCM automatically.
Kumbuka hata kuiua TANU ilibidi NYERERE abadili Katiba kwanza ndo Ikazaliwa CCM. Msiingie kwenye mtego wa uchaguzi kabla ya Katiba. Anaekalia kiti hawezi ruhusu kuondoa kipengele Cha matokeo kutohojiwa mahakamani. Amen.
Nguvu kubwa ya Katiba MPYA itatoka chama tawala. Nawajua vzr wapinzani. Mbooowe anaongelea uchaguzi ambao hata wakishinda hawatatangazwa na hawana pa kwenda!! Kipo kitakachotokea kitakachotuunganisha. Pia Serikali ya mseto bila Katiba mpya ni Upuzi tu kupeana fadhila.Swala la kushiriki au kutoshiriki kwenye uchaguzi halipo mikononi mwa Raia bali chama tawala!!ni ngumu Sana KWA vyama vya upinzani kutoshiriki kama wakiahidiwa ruzuku za UBUNGE hasa CHADEMA!!
Nadhani ifike hatua the state iingilie Kati kuhusu katiba mpya kuliko kuacha utashi wa CCM kutawala siasa ZETU!!!!la sivyo unabii hautotimia !!!
Ngoja TUONENguvu kubwa ya Katiba MPYA itatoka chama tawala. Nawajua vzr wapinzani. Mbooowe anaongelea uchaguzi ambao hata wakishinda hawatatangazwa na hawana pa kwenda!! Kipo kitakachotokea kitakachotuunganisha. Pia Serikali ya mseto bila Katiba mpya ni Upuzi tu kupeana fadhila.