Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
-
- #61
Acha vitisho jombii. CCM inashinda peupeee saa sita mchana mbuzi anakula majaniKw
Kwenda kulee, kwa uonevu mnaoufanya unataka msilalamikiwe.
Mipango ya maendeleo ipo katika ilani tayari wewe "mzembe mmoja"...
Miongoni mwa vitu vinatuhusu vijana ni mkopo wa elimu ya juu kukatwa kinyume na mkataba wa awali yani 3%, ukosefu wa ajira n.k
Waambie wajiandae kuiba tu ndio suluhu yao, na round hii kila patakapoibiwa tambua kutakuwa na rangi ya simba sports club. #sasabasi
Mnashindaje that's my concern.Endelea na kuunga juhudi "mkoloni mweusi", mambo ya ajabu sana,play fair and win wala watu hatuna tatizo.Acha vitisho jombii. CCM inashinda peupeee saa sita mchana mbuzi anakula majani
Umetumia utashi wako kuwlewa au.Vuta kumbukumbu ni nini Prof Mwandosya alisema 2015 juu ya Magufuli....kwamba John hajawahi kuongoza hata nyumba 10 hivyo hafai kuwa rais.
Kumbuka pia nini Kinana na Nape walisema kwenye Sauti zilizodukuliwa....kwamba John Ni mshamba Sana
Sasa Kati ya John na hawa wapinzani ( Lisu/Membe/Maalim Seif) huoni kama John ndiye hafai?
Tusaidie kufahamu aliyekuwa tayari,wengine umetuacha.Wanabodi,
Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.
Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.
Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.
Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.
Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni
Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.
#2020 kura kwa John
Huyu ni Paskali katika ID nyingineWanabodi,

Mara nyingi watetezi wa yule bwana hoja zao ni mfu..so inawezekana mawazo yao 'mfu' yakafanana.Huyu ni Paskali katika ID nyingine
Wapinzani wako kushindana wao kwa wao kutaka mmoja awe ndo chama kikuu cha upinzani lengo sio kuongoza nchi...Wanabodi,
Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.
Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.
Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.
Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.
Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni
Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.
#2020 kura kwa John
Come 28 OktobaKama ni kweli tuliibiwa ulitaka asemeje?
WanaCCM ni binadamu Kama walivyo binadamu wengine, hivyo kufanya makosa ni jambo la kawaida. Mwenyekiti wetu Sasa hataki mchezo na anarekebisha.
Hivi Kama ukimkuta sheikh anakula kitimoto, utamlaumu yeye au utaulaumu uislamu?
Membe ameshajitoa rasmi?Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
Watu wa ajabu Sana, hawastahili kupewa hata heshima ya udiwaniWapinzani wako kushindana wao kwa wao kutaka mmoja awe ndo chama kikuu cha upinzani lengo sio kuongoza nchi...
Literature is not static, it is dynamic with more than one meaning. It is up to wewe to give that meaning.kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is real
Hotuba iliyojaa matumaini halafu baadaye unateua akuna Bashite na akina Sabaya?Wanabodi,
Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.
Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.
Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.
Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.
Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni
Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.
#2020 kura kwa John
Ni watanzania wenzetuHotuba iliyojaa matumaini halafu baadaye unateua akuna Bashite na akina Sabaya?
Kura yako mpe JohnTusaidie kufahamu aliyekuwa tayari,wengine umetuacha.
Pascal Mayalla @paskalinho njoo huku jukwaa kuu unauliziwaHuyu ni Paskali katika ID nyingine
Mtende utakuwa umechanganywa na matumizi ya neno "wanabodi"Huyu ni Paskali katika ID nyingine
Kulalamika na kulialia havijawahi kuwa sifa ya mashujaaKama wewe mzalendo halisi utakuwa umejifunza kwanini walalamike vinginevyo ni wale wale.