Uchaguzi 2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

Kw
Kwenda kulee, kwa uonevu mnaoufanya unataka msilalamikiwe.
Mipango ya maendeleo ipo katika ilani tayari wewe "mzembe mmoja"...
Miongoni mwa vitu vinatuhusu vijana ni mkopo wa elimu ya juu kukatwa kinyume na mkataba wa awali yani 3%, ukosefu wa ajira n.k
Waambie wajiandae kuiba tu ndio suluhu yao, na round hii kila patakapoibiwa tambua kutakuwa na rangi ya simba sports club. #sasabasi
Acha vitisho jombii. CCM inashinda peupeee saa sita mchana mbuzi anakula majani
 
Mnashindaje that's my concern.Endelea na kuunga juhudi "mkoloni mweusi", mambo ya ajabu sana,play fair and win wala watu hatuna tatizo.
Kilichofanyika kwa ACT Zanzibar ukiwa na akili timamu na ukizingatia mafundisho ya huyo Mungu wako unaona iko sawa?
 
Vuta kumbukumbu ni nini Prof Mwandosya alisema 2015 juu ya Magufuli....kwamba John hajawahi kuongoza hata nyumba 10 hivyo hafai kuwa rais.

Kumbuka pia nini Kinana na Nape walisema kwenye Sauti zilizodukuliwa....kwamba John Ni mshamba Sana

Sasa Kati ya John na hawa wapinzani ( Lisu/Membe/Maalim Seif) huoni kama John ndiye hafai?
Umetumia utashi wako kuwlewa au.
John kawa waziri miaka mingi halaf leo unasema eti hajawahi kuwa hata balozi wa nyumba 10.
Mwandosia yeye yukowapi kiongozi mkubwa ambae amewahi kuwa makamu wa
Wa rais.
 
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
Tusaidie kufahamu aliyekuwa tayari,wengine umetuacha.
 
Huyu ni Paskali katika ID nyingine
 
Wapinzani wako kushindana wao kwa wao kutaka mmoja awe ndo chama kikuu cha upinzani lengo sio kuongoza nchi...
 
Nilijua tuu mmemwagwa kama njugu ili kupinga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama ni kweli tuliibiwa ulitaka asemeje?

WanaCCM ni binadamu Kama walivyo binadamu wengine, hivyo kufanya makosa ni jambo la kawaida. Mwenyekiti wetu Sasa hataki mchezo na anarekebisha.

Hivi Kama ukimkuta sheikh anakula kitimoto, utamlaumu yeye au utaulaumu uislamu?
Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is real
Literature is not static, it is dynamic with more than one meaning. It is up to wewe to give that meaning.
 
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
Hotuba iliyojaa matumaini halafu baadaye unateua akuna Bashite na akina Sabaya?
 
Back
Top Bottom