olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Wapinzani wa Tanzania wanakwama pakubwa sana. Huwezi amini baada ya kulia kwa miaka kama 6 kua wamezuiwa kufanya mikutano, leo hii wanaruhusiwa kufanya mikutano and guess what they are into?
kumtukana waziri Nape pekee real?
Tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka mmoja baadae uchaguzi mkuu. Think Tank ya chama kikuu cha upinzani inabishana kumlinganisha waziri na Maandazi kweli?
hawa ndio watunga ilani ya uchaguzi ijayo kweli? kuna mahali wapinzani mnaukosea umma wa watanzania wenye kiu ya kuona mabadiriko nchini. Nyie ndio wa kuweka agenda ya alipo makamu wa rais kama agenda ya kitaifa?
By the way you wanted the man to be dead ili muwe proven right si ndio? Badirikeni, wenzenu CCM wanawatupia mifupa na nyie bila kujua mnabweka kwa kila mfupa unaotupwa
zero thinking capacity, kwa ujumla ninyi mmesha fail kabla ya kuanza safari
Yani 2024 mwaka wa chaguzi wa serikali za mitaa agenda kuu yenu ni Makamu wa rais kutoonekana?
Yani 2024 mwaka wa uchaguzi mnaingia mkia na agenda ya chongolo kujiuzulu uongozi CCM?
Mbona mna Uelewa mdogo sana wa mambo nyie ? au mnasubiri rejects wa CCM ndio waje wawape mipango?
kwa akili ndogo zenu mtatukana tena.